Mzee wa kazi ngumu
JF-Expert Member
- Sep 28, 2023
- 849
- 2,550
Raia wakurudi road hawapo mkuu. I wish watu wangejua nguvu ya umma ni kubwa kuliko Jeshi lolote lile hata hao JWTZ.Lazima turudi barabarani.

Bado najiuliza JWTZ hawakuweza kuwashoot hao wahuni wa museven UPDFWalisaidiwa na kikosi cha KMKM kutoka Zanzibar na wahuni ndani ya policcm
Hata maraisi wa mataifa mengine wanashangaaSikuwahi kudhani kuwa itafika kipindi mimi nitoke nikutane na maiti nirudi mchana nikute bado zipo nirudi jioni nikute bado zipo na kesho yake bado nikutane nazo.
Hiki ndicho nilichoshuhudia mimi. Nilikuwa kila nikitoka napishana na maiti mbili zilizotelekezwa njiani kunazia tarehe 30 jioni mpaka tarehe 02 asubuhi yani jana. Hata wale waliojipa jukumu la kuzurura mitaani na magari yao walikuwa wakizopita bila kujali chochote.
Usiombe kuona niliyoyashuhudia. Nimeshuhudia wenye silaha wakipita na kufyatulia watu risasi bila kuwasemesha wala kuwahoji. Nimeshuhudia na nimeona watu wakianguka baada ya kupigwa risasi huku wakiwa hawajui kuwa walikuwa wamekwisha fyatuliwa. Yupo mmoja wakati anakimbia alihamaki "Nasikia baridi kiunoni" huku akiendelea kukimbia kabla ya kuangua hatua mbili tu mbele alizopiga. Ilikuwa ni risasi iliyofuatiwa na kuloa damu!
Mbaya zaidi nimeona maiti zikioza huku nikiwa sina jinsi zaidi ya kupishana nazo pale ninapotoka na kuingia. Najiuliza ilikuwaje sipati jibu. Najiuliza ni kwasababu gani napo pia sipati jibu.
Hali hii inahitaji uchunguzi maana tuliyoyaona yanatisha!
Yan zile clip kama una moyo wa nyama lazima uumie. Ila kama ni gaidi ndio hatoshtuka.Leo ndio nmefanikiwa kuona baadhi ya video, nmeumia sana 💔
Inawezekana sana huo ukawa ni mwanzo tu wa uliyo yaona..Hali hii inahitaji uchunguzi maana tuliyoyaona yanatisha!
Pole sana sana. Walikuwa wanaacha maiti kwa makusudi ili kutisha watu. Ni utamaduni wa kiarabu huo ndiyo makatili namna hii.Sikuwahi kudhani kuwa itafika kipindi mimi nitoke nikutane na maiti nirudi mchana nikute bado zipo nirudi jioni nikute bado zipo na kesho yake bado nikutane nazo.
Hiki ndicho nilichoshuhudia mimi. Nilikuwa kila nikitoka napishana na maiti mbili zilizotelekezwa njiani kunazia tarehe 30 jioni mpaka tarehe 02 asubuhi yani jana. Hata wale waliojipa jukumu la kuzurura mitaani na magari yao walikuwa wakizopita bila kujali chochote.
Usiombe kuona niliyoyashuhudia. Nimeshuhudia wenye silaha wakipita na kufyatulia watu risasi bila kuwasemesha wala kuwahoji. Nimeshuhudia na nimeona watu wakianguka baada ya kupigwa risasi huku wakiwa hawajui kuwa walikuwa wamekwisha fyatuliwa. Yupo mmoja wakati anakimbia alihamaki "Nasikia baridi kiunoni" huku akiendelea kukimbia kabla ya kuangua hatua mbili tu mbele alizopiga. Ilikuwa ni risasi iliyofuatiwa na kuloa damu!
Mbaya zaidi nimeona maiti zikioza huku nikiwa sina jinsi zaidi ya kupishana nazo pale ninapotoka na kuingia. Najiuliza ilikuwaje sipati jibu. Najiuliza ni kwasababu gani napo pia sipati jibu.
Hali hii inahitaji uchunguzi maana tuliyoyaona yanatisha!
Tangu nimeziona hadi sasa sina amani kabisa, nawaza sana kuhusu usalama wetu kama mambo yalikuwa vile mitaani.Yan zile clip kama una moyo wa nyama lazima uumie. Ila kama ni gaidi ndio hatoshtuka.
Subiri utaona usiyoweza kuamini. Utawala wa damu hauna nafasi hapa nchini.Raia wakurudi road hawapo mkuu. I wish watu wangejua nguvu ya umma ni kubwa kuliko Jeshi lolote lile hata hao JWTZ.
Subiri uone hayo maandamano yanafuata na lazima tufungue kesi mahakama ya kimataifa. Hatuwesi kuwa chini ya utawala wa damu. Jiandae kisaikolojia. Na hizo kura 31m mtadhibirisha zilipigwa na watanzania gani.Acheni vihabari vya kutunga tunga na kuongea uongo wenu hapa baada ya kushindwa kwa nia zenu ovu za kuleta machafuko hapa Nchini
Karibu tena.Subiri utaona usiyoweza kuamini. Utawala wa damu hauna nafasi hapa nchini.
Itakuwa jambo jema mkuu. Zile dharau za kina Tulia na Mwigulu nchemba nilazima ziishe kabisa.Subiri utaona usiyoweza kuamini. Utawala wa damu hauna nafasi hapa nchini.
Kuharibu Mali za watu munaita maandamano, siku ya pili mukiambiwa mtaxhanganya na za kwenuUnatoa uhai wa raia wako kisa madaraka kweli!! 😭
Ondoa ujinga wako hapa.Subiri uone hayo maandamano yanafuata na lazima tufungue kesi mahakama ya kimataifa. Hatuwesi kuwa chini ya utawala wa damu. Jiandae kisaikolojia. Na hizo kura 31m mtadhibirisha zilipigwa na watanzania gani.
Hii ndiyo sababu ya hawa waTanzania kuuliwa, eti eeeh Bhwanah!Kuharibu Mali za watu munaita maandamano, siku ya pili mukiambiwa mtaxhanganya na za kwenu
Huko Mwanza sasa raia walifuatwa mtaani na majumbani mwao wakatwangwa risasi.Sikuwahi kudhani kuwa itafika kipindi mimi nitoke nikutane na maiti nirudi mchana nikute bado zipo nirudi jioni nikute bado zipo na kesho yake bado nikutane nazo.
Hiki ndicho nilichoshuhudia mimi. Nilikuwa kila nikitoka napishana na maiti mbili zilizotelekezwa njiani kunazia tarehe 30 jioni mpaka tarehe 02 asubuhi yani jana. Hata wale waliojipa jukumu la kuzurura mitaani na magari yao walikuwa wakizopita bila kujali chochote.
Usiombe kuona niliyoyashuhudia. Nimeshuhudia wenye silaha wakipita na kufyatulia watu risasi bila kuwasemesha wala kuwahoji. Nimeshuhudia na nimeona watu wakianguka baada ya kupigwa risasi huku wakiwa hawajui kuwa walikuwa wamekwisha fyatuliwa. Yupo mmoja wakati anakimbia alihamaki "Nasikia baridi kiunoni" huku akiendelea kukimbia kabla ya kuangua hatua mbili tu mbele alizopiga. Ilikuwa ni risasi iliyofuatiwa na kuloa damu!
Mbaya zaidi nimeona maiti zikioza huku nikiwa sina jinsi zaidi ya kupishana nazo pale ninapotoka na kuingia. Najiuliza ilikuwaje sipati jibu. Najiuliza ni kwasababu gani napo pia sipati jibu.
Hali hii inahitaji uchunguzi maana tuliyoyaona yanatisha!
Ondoa ujinga wako hapa.
Nasema hivi, jiandae kisaikoliojia. Yatafanyika maandamano makubwa ya amani yakiongozwa na viongozi wa dini. Hilo litafuatiwa na kufungua kesi mahakama ya ICC. Hatuwezi kuongozwa na umwagaji mkubwa wa damu hivi huku hakuna uhalali toka kwa wananchi. Hukutegemea watu waandamane, yajayo yanafurahisha.Ondoa ujinga wako hapa.