GE2025 Octoba 30 ya damu. Nilishuhudia maiti zikitelekezwa njiani siku tatu mfululizo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Sikuwahi kudhani kuwa itafika kipindi mimi nitoke nikutane na maiti nirudi mchana nikute bado zipo nirudi jioni nikute bado zipo na kesho yake bado nikutane nazo.

Hiki ndicho nilichoshuhudia mimi. Nilikuwa kila nikitoka napishana na maiti mbili zilizotelekezwa njiani kunazia tarehe 30 jioni mpaka tarehe 02 asubuhi yani jana. Hata wale waliojipa jukumu la kuzurura mitaani na magari yao walikuwa wakizopita bila kujali chochote.

Usiombe kuona niliyoyashuhudia. Nimeshuhudia wenye silaha wakipita na kufyatulia watu risasi bila kuwasemesha wala kuwahoji. Nimeshuhudia na nimeona watu wakianguka baada ya kupigwa risasi huku wakiwa hawajui kuwa walikuwa wamekwisha fyatuliwa. Yupo mmoja wakati anakimbia alihamaki "Nasikia baridi kiunoni" huku akiendelea kukimbia kabla ya kuangua hatua mbili tu mbele alizopiga. Ilikuwa ni risasi iliyofuatiwa na kuloa damu!

Mbaya zaidi nimeona maiti zikioza huku nikiwa sina jinsi zaidi ya kupishana nazo pale ninapotoka na kuingia. Najiuliza ilikuwaje sipati jibu. Najiuliza ni kwasababu gani napo pia sipati jibu.

Hali hii inahitaji uchunguzi maana tuliyoyaona yanatisha!
NRNE!
 
Wewe ulichukua hatua gani kwanza?
 
Hio ya maiti kubaki barabarani kwa muda ni kweli , pale tegeta kutwa nzima zilibaki maiti mbili.

Sababu kuu ilikua haitakiwi mtu yoyote mtaani, hivyo hakuna aliethubutu kuwasitiri wenzetu hao.

Wajaliwe pumziko ls amani.
 
Hahahahahaha unamuwaza sana Mbowe mzee mbona aliwaachia uwanja mfanye mliyoahidi? Mwache mzee asake shekeli nyie pambaneni na NRNE!!
Asake au ale alizohongwa na Samia? Yaani kuandoka kwa Mbowe kumeleta impact kubwa sana tena kwa muda mfupi sana. Angekuwepo ungekuta bado tunazungusha ngumi huku akiwa akimepewa wabunge 10 ili ale ruzuku.
 
Mna fitina Kama malaya wa Kimboka mbwa kabisa pambaneni na hii damage mmepata shwaini wakubwa!
Matusi yako yanaonyesha kombora limeingia kupitia backdoor. A traitor is just a traitor. Let him be ashamed, because he was using the youth—some even lost their lives—yet it turns out he was just a puppet of the government. The blood of Soka will cry out against him, even to his grandchildren
 
Mmeua watu kwa tamaa zenu!! Mlikua mnahubiri NRNE kumbe nyuma mnapanga maangamizi dhidi ya biashara na mali Za wenzenu! Mlikua mnajitapa kabisa humu nani wa kwenda kumchomea mali na kupora!! Washenzi of its highest order!! Mmedharaulika sana sana!!
 
It was satan Samia who killed innocent young men and women — nothing else explains it. Shame on her; she will end up in hell (and I mean an earthly hell). The traitor Mbowe will meet his end too — he has dug his own grave. Idiot!
 
Back
Top Bottom