Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,432
- 191,751
Hio ilikuwa mbaya sana, worst mistake.Pale Kigamboni vijana walipenya kwenda choma zile tankers 🙌🙌 sijui tungekua tunaongea nini Leo Kama wasingedhibitiwa!!
Hio ilikuwa mbaya sana, worst mistake.Pale Kigamboni vijana walipenya kwenda choma zile tankers 🙌🙌 sijui tungekua tunaongea nini Leo Kama wasingedhibitiwa!!
Unafikiri kama maandamano yalishaharamishwa na jeshi kubeba mabango pekeyake ingesaidia msipigwe risasi? Walishasema hawataki maandamano.Kuharibu Mali za watu munaita maandamano, siku ya pili mukiambiwa mtaxhanganya na za kwenu
Kauli kama hizi ni mtaji kwa GenZ.Raia wakurudi road hawapo mkuu. I wish watu wangejua nguvu ya umma ni kubwa kuliko Jeshi lolote lile hata hao JWTZ.
asee ndugu yangu kweli wewe ni mtanzania? Mi nimeshuhudia watu wawili wakifa na hawakuandamana! Tena wa kwanza alikuwa amesimama kibarazani kwake! Hebu acha kuongea kama umekatwa kichwa! Yaani haufikirii wewe unaongea tu! Endapo kungekuwa na kiongozi wa maandamano, watu wasingechoma mali za hao unaowaita watu. We unadhani kungetokea nini kingine na wakati viongozi wa maandamano walikamatwa? Sote tunajua kinachotokea pale anapokosekana kiongozi kwenye mambo mbalimbali! Kilichotekea ni wananchi kujiongoza wenyewe! We unadhani kwanini RUTO hakumkamata RAILA ODINGA kipindi kile anaongoza na kuhamasisha watu waandamane? Alijua hasara ya kukosa kiongozi kwenye maandamano!Kupora na kuchoma mali mlikua mkifurahia humu
Kalipa deni na riba juu...siku zote wananzibar wana kisasi na Bara ,hawatupendi na hawatkaa watupende niHuyo kafanya kufuru, BM hakuua hivyo
Huyu nae chizi usimjibu,mnufaika wa mfumo toka anazaliwa hajui ht bei ya sukari kilo moja ...wala hali za wabongo anakuchosha tu mpotezeeSio wkte waliouawa walikua kwenye maandamano, wengi walikua majumbani mwao. Mtangazaji wa clouds fm alikua kwake lakini akapigwa risasi
Sidhani kama Kuna maandamano tena mkuu, watu wamekatishwa tamaa sana ilikuwa imebaki nafasi ya jeshi letu lakini hawakufanya hivyo. Acha rasilimali za nchi ziuzwe kama njugu maana wahuni wametuzidi ujanjaSubiri uone hayo maandamano yanafuata na lazima tufungue kesi mahakama ya kimataifa. Hatuwesi kuwa chini ya utawala wa damu. Jiandae kisaikolojia. Na hizo kura 31m mtadhibirisha zilipigwa na watanzania gani.
Kwa maandamano yaliyotokea setup nzima itabadilika watake wasitake. Tutashika silaha mkonono ili kukabiliana nao. Safari hii wametuzidi kwakuwa wana silaha. Na sisi hatuna budi kushika silaha ili tuone nani atashinda. Tuko wengi kuliko wao, ila tulikosa tu silaha.Sidhani kama Kuna maandamano tena mkuu, watu wamekatishwa tamaa sana ilikuwa imebaki nafasi ya jeshi letu lakini hawakufanya hivyo. Acha rasilimali za nchi ziuzwe kama njugu maana wahuni wametuzidi ujanja
Hakika mkuu hili jeshi ikiwezekana libadilishwe tu neno Jeshi laHatuna jeshi mkuu, mpaka uambiwe mara ngapi ndio uelewe?
Huu uchafuzi tunaouita JWTZ ni toileti paper ya shetani samia na genge lake, akiiba rasilimali za watanganyika analitumia kuwafungia ndani msimletee bugudha.
Mkuu kumbe siku hizi una silaha? Umeipata wapi?Kwa maandamano yaliyotokea setup nzima itabadilika watake wasitake. Tutashika silaha mkonono ili kukabiliana nao. Safari hii wametuzidi kwakuwa wana silaha. Na sisi hatuna budi kushika silaha ili tuone nani atashinda. Tuko wengi kuliko wao, ila tulikosa tu silaha.
KmlmmykoAcheni vihabari vya kutunga tunga na kuongea uongo wenu hapa baada ya kushindwa kwa nia zenu ovu za kuleta machafuko hapa Nchini
Utaipata wapi mkuu?Hapa ni kumilik chuma tu hakuna namna
Ukiwa tayar utaipata tuUtaipata wapi mkuu?
Tupumzisheni asee!
Ngoja tunyoshane kidogo...Tupumzisheni asee!
Watu walikuwa wameshapanga kumtembeleaUlishawahi kuona bhakresa anafanyiwa fujo? Umeshajiuliza ni kwanini hata katika hizo vurugu hakuna asset ya bhakressa iliyoguswa.