GE2025 Octoba 30 ya damu. Nilishuhudia maiti zikitelekezwa njiani siku tatu mfululizo

GE2025 Octoba 30 ya damu. Nilishuhudia maiti zikitelekezwa njiani siku tatu mfululizo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mmeua watu kwa tamaa zenu!! Mlikua mnahubiri NRNE kumbe nyuma mnapanga maangamizi dhidi ya biashara na mali Za wenzenu! Mlikua mnajitapa kabisa humu nani wa kwenda kumchomea mali na kupora!! Washenzi of its highest order!! Mmedharaulika sana sana!!

Yaani mmeua watu then mnashift blame? Mmeua hadi watoto wadogo kabisa wasiojua hata maandamano ni nini then uko proud kabisa na kujichekesha jukwaani🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
 
It was satan Samia who killed innocent young men and women — nothing else explains it. Shame on her; she will end up in hell (and I mean an earthly hell). The traitor Mbowe will meet his end too — he has dug his own grave. Idiot!
Amani,usalama na JMT ni vitu visivyo na mbadala!! Kumbe NRNE ilimaanisha ule uhuni tulioushuhudia? Hivi zingechomwa zile tankers pale kurasini ndo mngepata nini? Haki sikuwahi fikiri mmebeba agenda za kihalifu namna hii 🙌🙌🙌🙌🙌
 
wapi huko mkuu
ni kweli watu wameuliwa ila kwa DSM zilikuwa zinabebwa na AMBULACE au POLICE na DEFENDA zao wenyewe
even majeruhi walikuwa wanawabeba wenyewe kuwapeleka hosptari haizidi hata masaa mawili wanawachukua
kusema maiti zimeoza njiani kwa DSm hakukuwepo hilo tuambie sehemu gami hiyo

kitu pekee kilichonisikitisha ni MOCHWALI kujaa kiasi ukiwa umefiwa na ndugu yako kifo cha kawaida nyumbani ukipeleka mwili hata hivi leo unarudishwa unapewa KIBARI ukazike tu nafasi mochwari hakuna zaifi mwilinwanauchoma SINDANO
sikuwahi kushuhudia hili hata katika JANGA LA CORONA
 
Niliona video moja ikionyesha jengo likoungua moto majira ya usiku moto mkubwa sana na wakati huo huo milio ya risasi nyingi sana AK47 SMG zikisikika utasema ni vita nikawa najisemea zile risasi ni cover fire au zinapigwa hewani ili kuwatisha wanachi au zinapigwa muelekeo wa wananchi na kama watu wanapigwa zile live rounds watu wengi wameuwawa na kujeruhiwa.
 
Wanachoma mioto yanini? Hivi kweli NRNE ndo ilimaanisha kile tulichoshuhudia?
 
Sikuwahi kudhani kuwa itafika kipindi mimi nitoke nikutane na maiti nirudi mchana nikute bado zipo nirudi jioni nikute bado zipo na kesho yake bado nikutane nazo.

Hiki ndicho nilichoshuhudia mimi. Nilikuwa kila nikitoka napishana na maiti mbili zilizotelekezwa njiani kunazia tarehe 30 jioni mpaka tarehe 02 asubuhi yani jana. Hata wale waliojipa jukumu la kuzurura mitaani na magari yao walikuwa wakizopita bila kujali chochote.

Usiombe kuona niliyoyashuhudia. Nimeshuhudia wenye silaha wakipita na kufyatulia watu risasi bila kuwasemesha wala kuwahoji. Nimeshuhudia na nimeona watu wakianguka baada ya kupigwa risasi huku wakiwa hawajui kuwa walikuwa wamekwisha fyatuliwa. Yupo mmoja wakati anakimbia alihamaki "Nasikia baridi kiunoni" huku akiendelea kukimbia kabla ya kuangua hatua mbili tu mbele alizopiga. Ilikuwa ni risasi iliyofuatiwa na kuloa damu!

Mbaya zaidi nimeona maiti zikioza huku nikiwa sina jinsi zaidi ya kupishana nazo pale ninapotoka na kuingia. Najiuliza ilikuwaje sipati jibu. Najiuliza ni kwasababu gani napo pia sipati jibu.

Hali hii inahitaji uchunguzi maana tuliyoyaona yanatisha!
Hakuna maiti iliyoachwa siku tatu
 
Amani,usalama na JMT ni vitu visivyo na mbadala!! Kumbe NRNE ilimaanisha ule uhuni tulioushuhudia? Hivi zingechomwa zile tankers pale kurasini ndo mngepata nini? Haki sikuwahi fikiri mmebeba agenda za kihalifu namna hii 🙌🙌🙌🙌🙌
Killers are always guilty; they try to wash their motives by shifting the blame onto others. Hundreds of innocent citizens are dying because of corruption and the embezzlement of our money — spent on luxury cars like Rolls-Royces and Lamborghinis. It is evil.
 
Ndo kuchomea nyumba Za watu moto! Kuiba mitungi ya gesi, kuvunja ATM na mengine Ndo suluhisho lake?
 
wapi huko mkuu
ni kweli watu wameuliwa ila kwa DSM zilikuwa zinabebwa na AMBULACE au POLICE na DEFENDA zao wenyewe
even majeruhi walikuwa wanawabeba wenyewe kuwapeleka hosptari haizidi hata masaa mawili wanawachukua
kusema maiti zimeoza njiani kwa DSm hakukuwepo hilo tuambie sehemu gami hiyo

kitu pekee kilichonisikitisha ni MOCHWALI kujaa kiasi ukiwa umefiwa na ndugu yako kifo cha kawaida nyumbani ukipeleka mwili hata hivi leo unarudishwa unapewa KIBARI ukazike tu nafasi mochwari hakuna zaifi mwilinwanauchoma SINDANO
sikuwahi kushuhudia hili hata katika JANGA LA CORONA

Usimbishie mkuu, Kuamkia taree 30, Kuna miili ilikua ikiland landa Morogoro rd mitaa yabezi mida ya alfajiri ikaja kubebwa na gari la JWTZ
 
Pale Kigamboni vijana walipenya kwenda choma zile tankers 🙌🙌 sijui tungekua tunaongea nini Leo Kama wasingedhibitiwa!!
Walikuwa wanasema nini sababu ya kuchoma fuel depot? Au wameambiwa ni za Riziwani au Abdul?
 
K
Imeonyesha Dunia polisi wetu ni wa hovyo na wanahitaji mafunzo ya ziada.Polisi walioshindwa kuzuia maandamano ya vijana warusha mawe wakajibu kwa risasi utafikiri wanapambana na waasi.

Siku zote polisi hawatumii risasi unless wame pewa Shoot to kill Order.
 
Hivi ni kweli kuwa hata waliokuwa wanaenda kupiga kura nao walikuwa wanauliwa?
Kuna boda boda amekufa mtaani kwetu alikua anapeleka abiria
Halafu waliokufa wemgi sio waliokua wakiandamana ni wapita njia waliokua hawajui hawakuskia tangazo la kutembea mwisho saa kumi na mbili
 
Back
Top Bottom