Mwamba 777
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 2,780
- 4,504
Wote ni wale wale tuuu, skuingine wananchi wasikubali kuandamana, watulie kabisa JWTZ vigeugeu Leo Kwa wananchi kesho Kwa mama, hawana maana yoyote, HATUNA JESHI,Bado najiuliza JWTZ hawakuweza kuwashoot hao wahuni wa museven UPDF
Jeshi linanuka njaa, kumbe walikuwa na njaa wamenunulika kirahisi wamewasaliti wananchi.