GE2025 Octoba 30 ya damu. Nilishuhudia maiti zikitelekezwa njiani siku tatu mfululizo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hata maraisi wa mataifa mengine wanashangaa
 
Pole sana sana. Walikuwa wanaacha maiti kwa makusudi ili kutisha watu. Ni utamaduni wa kiarabu huo ndiyo makatili namna hii.
 
Acheni vihabari vya kutunga tunga na kuongea uongo wenu hapa baada ya kushindwa kwa nia zenu ovu za kuleta machafuko hapa Nchini
Subiri uone hayo maandamano yanafuata na lazima tufungue kesi mahakama ya kimataifa. Hatuwesi kuwa chini ya utawala wa damu. Jiandae kisaikolojia. Na hizo kura 31m mtadhibirisha zilipigwa na watanzania gani.
 
Kuharibu Mali za watu munaita maandamano, siku ya pili mukiambiwa mtaxhanganya na za kwenu
Hii ndiyo sababu ya hawa waTanzania kuuliwa, eti eeeh Bhwanah!

Sasa tueleze, ni nani aliye waua hawa watu; hao wenye mali zao?

Sijawahi kukusoma humu JF, bila shaka utakuwa umeguswa sana na haya yanayo endelea, na hasa baada ya ushindi mkubwa. Ngoja nikariri jina.
 
Huko Mwanza sasa raia walifuatwa mtaani na majumbani mwao wakatwangwa risasi.
 
Ondoa ujinga wako hapa.
Nasema hivi, jiandae kisaikoliojia. Yatafanyika maandamano makubwa ya amani yakiongozwa na viongozi wa dini. Hilo litafuatiwa na kufungua kesi mahakama ya ICC. Hatuwezi kuongozwa na umwagaji mkubwa wa damu hivi huku hakuna uhalali toka kwa wananchi. Hukutegemea watu waandamane, yajayo yanafurahisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…