Ofisa wa TRC aliyefukuzwa kazi kwa kukosoa tozo akamatwa na Jeshi la Polisi akiwa nyumbani kwake

Pole sana mkuu. Haya maisha yana sarakasi sana saa nyingine mwenye nguvu mpishe apite maamuzi yatafanywa na Mungu peke yake.
 
Meneja wa shirika la umma analalamikia tozo halafu unakuta hohehahe mtaani hana hata habari!

Watumishi wa umma kuleni tu kulingana na urefu wa kamba zenu huko ofisini wenyewe mkiwakosoa wanaita mmewatukana.

Meneja uza hata "kiberege" au piga mnada mataruma.
 
Pole sana mkuu. Haya maisha yana sarakasi sana saa nyingine mwenye nguvu mpishe apite maamuzi yatafanywa na Mungu peke yake.
Asante mkuu usiombe hio situation ikukute. I was overstressed!
 
Kwani mama si,anaponya nchi au?
 
Wakituwekea sms ya ushahidi tutaona hayo matusi kweli au diss tu!
 
Kama Supika wa Nchi kashindwa....huyo meneja itakuwa vipi?
 
Si hii nchi rekebisha kauli yako sema watu wa hii nchi wanamatatizo nchi haiwezi kuongea .
Kingine kweli ni hiki hapa maisha yako ni yako usiwe na utetezi wowote .
Ukiona kimya ili mradi unapewa mshahara wako basi sasa huyu kawa kama ndugai bora ndugai anahela zake na alikuwa na vyeo viwili ubunge na uspika sasa huyu anajiamini na nini??
 
Atanyoooka tuu ngoja afanyiwe harassment ndio akili imjie..
 
Pole sna mkuu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Tulikuwa tunasema tatizo sio Magufuli Bali CCM lakini watu wakawa wanamshambulia Magufuli.
Sasa hivi watu wanaokotwa kwenye viroba, watu wameanza kubambikiwa kesi, tozo zinaongezeka pia kesi za kubambikiwa labda Magufuli amefufuka
Sas Nani tuwape nnchi hi mnk kwa CDM hpana Bora magu. Angetawala tu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…