Ofisa wa TRC aliyefukuzwa kazi kwa kukosoa tozo akamatwa na Jeshi la Polisi akiwa nyumbani kwake

Ametukanaje? Pumbavu wewe. Yakikukuta siku Moja utaelewa hayo maumivu, imagine watoto wake, ndugu zake and other dependents wana Hali Gani muda huu?
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Maneno mazito kutoka kwa Kamishna wa Polisi Zanzibar

THRDC yawakutanisha wadau wa haki binadamu, kamishna wa Polisi Zanzibar atoa agizo kwa askari polisi
Source : wasafi media
 
Kwa sababu siyo awamu ya tano basi inachukuliwa simple tu hata kelele siyo nzito sana.

Ila kila mwananchi hasa wa JF unapaswa kupata jibu mujarabu.
Lissu kapewa mafao, Mwenyekiti katolewa kwa kesi ya ugaidi, Kabwe anakula ruzuku kutoka serikali ya umoja, lema analipiwa mkopo wake banki... Nashangaa huyu kibatala
 
Yaah mm huyu jamaa nilikuwa naish nae jirani kbsa kosa lake kubwa Zaid alikoment vibaya kuhusu ndugai kipindi kile ndugai akiwa na nguvu kisa kina mdee jmaa alichukia a jinsi ndugai anavyo watetea kina mdee ndipo akakoment ktk grupo lake kuwa ndugai Ni kilaza tu

Kosa lapili nikucritise kuhusu tozo zilizoanzishwa na serekali

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
N
Ndugai ndio alimshitaki au
 
Kak huyu jamma alisimamishwa Kaz mwka jana kipind miezi Kama hii hii kipindi tozo za miamala ya simu na umeme ilivyoanzishwa

Na pia skataka la kina mdee lilimposa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
MIMI GENIUS NILIWAAMBIA WATANZANIA NA WAPINZANI NCHINI KUWA KAMA KIFO CHA MAGUFULI KINA MKONO WA MTU BASI TUTASHUHUDIA MENGI MAOVU KWA SABABU YA HOFU YA HAO WALIO WEKA HUO MKONO KILA HAKI ITAPIGWA VITA ...mpaka sasa tunashuhudia kupigwa vita Nyerere na Magufuli wazi wazi ..kikundi cha Waarabu koko kinatumia kila mbinu kufanikisha kutokomeza LEGACY ZA WAZALENDO WA KWELI YA NYERERE NA MAGUFULI ....Nakumbuka vyama vya upinzani vilifurahia sana kifo cha JPM ila mimi niliwaambia kwa kutumia ujiniasi wangu kuwa wasifurahi bila kwanza ya kujua kama kifo cha jpm kina mkono wa mtu au la, wao wakaniona mjinga nisiye na akili ...sasa mara tu tukasikia Mbowe gaidi yupo rupango watu wote wasio na akili wa chama tawala na waupinzani wakabaki kushangaa kwanini kesi inazidi kusongeshwa mbele na sa100 wakati adui yao alikuwa ni magufuli...imekuwaje...wengine wakasema sa100 kapatia yote ya kumchafua na kumponda JPM ila kakosea kwenye kesi ya mbowe tu kumbe kumbe kumbe[emoji117]HAWAKUJUA ILI FUMBO LA KIJINIASI LILILO NDANI YA HAYA MANENO NILIYO WAAMBIA KUWA WASIFURAHI KIFO CHA JPM HADI WAJUE KAMA KINA MKONO WA MTU AU LA. Kwa maana yote yaliyo kipata chadema na mbowe yapo ndani ya ilo fumbo ...kama kifo kilikuwa cha kawaida basi ndipo wapinzani wafurahi ila kama kilikuwa na mkono wa mtu wajue tu mbele kutakuwa na kilio na kusaga meno .....Pia kuhusu swala la katiba pia linategemea hicho kifo kama ni mkono wa mtu basi ni ujinga kudhani kuwa katiba ya kweli itapatikana kwa kupitia SA100
 
Nchi inakua na laana ya kudumu kwa sababu ya uonezi usio na kichwa wala miguu...mmemfukuza kazi kisa asiwapinge tena mnaenda kumkamata Mungu ni mwema wakati wote...
 
Jeshi la polisi lafanya makosa makubwa kutekeleza agizo la kumkamata huyu kijana na kutaka kumharibia kabisa maisha yake.

Hatimae Kingai ajinyoosha makucha yake halisi.
 
Ametukanaje? Pumbavu wewe. Yakikukuta siku Moja utaelewa hayo maumivu, imagine watoto wake, ndugu zake and other dependents wana Hali Gani muda huu?
Kama aliyajua yote hayo, aache maisha ya kihuni na kipumbavu kama ya kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…