Ofisa wa TRC aliyefukuzwa kazi kwa kukosoa tozo akamatwa na Jeshi la Polisi akiwa nyumbani kwake

Ofisa wa TRC aliyefukuzwa kazi kwa kukosoa tozo akamatwa na Jeshi la Polisi akiwa nyumbani kwake

Lissu kapewa mafao, Mwenyekiti katolewa kwa kesi ya ugaidi, Kabwe anakula ruzuku kutoka serikali ya umoja, lema analipiwa mkopo wake banki... Nashangaa huyu kibatala
Hakuna hisani yoyote hapo ni porojo tu , Hela za Lissu alizozuia jiwe na Ndugai ilikuwa halali kuzuiwa ? au huo ugaid wa Mbowe unaoujua wewe ndio ule wa PGO ya Kingai ?
 
Yaah mm huyu jamaa nilikuwa naish nae jirani kbsa kosa lake kubwa Zaid alikoment vibaya kuhusu ndugai kipindi kile ndugai akiwa na nguvu kisa kina mdee jmaa alichukia a jinsi ndugai anavyo watetea kina mdee ndipo akakoment ktk grupo lake kuwa ndugai Ni kilaza tu

Kosa lapili nikucritise kuhusu tozo zilizoanzishwa na serekali

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Hivi hayo uliyoyataja ni makosa ?
 
Wameshajigeuza kuwa miungu wa duniani! Ila kwa bahati mbaya mwisho wa siku wote tunaenda ardhini.

Watawatesa, watawatisha, na kuwaua binadamu wenzao! Na wenyewe siku yao ikifika, watalala kaburini.
Tete mkuu nashangaa hawataki kujifunza kupitia kwa mwendazake ama kweli sikio la kufa halisikii dawa
 
"kama hayupo nasi, sio mwenzetu"

nilidhani haya yaliisha na Mwamba, kumbe bado yapo!

Generali Mabeyo (mstaafu), hii sio haki ya Mtanzania inakiukwa? Nguvu zote hizi za dola kwa mtu mdogo kama huyu?

ila dogo haelewi hizi tozo ni sehemu ya kuwarudishia wale walioporwa na Mwamba! Anaingilia jambo la watu. Sio kwa uyoga tunaouona unaota kwa spidi huko mtaani!
 
Taarifa iliyotufikia hivi punde inasema kwamba Jonas Afumwisye meneja wa TRC aliyesimamishwa kazi kwa kupinga Tozo, AMEKAMATWA NA POLISI.

Wakili wa Meneja huyo Peter Kibatala, amedai kupigiwa simu na Mteja wake Ndugu Afumwisye na kuelezwa kwamba amefuatwa na Polisi nyumbani kwake ambao wametumwa kumkamata.

View attachment 2335762

Chanzo : MwanaHalisi
Sioni tofauti ya Samia Suluhu Hassan na John Pombe Magufuli
 
MIMI GENIUS NILIWAAMBIA WATANZANIA NA WAPINZANI NCHINI KUWA KAMA KIFO CHA MAGUFULI KINA MKONO WA MTU BASI TUTASHUHUDIA MENGI MAOVU KWA SABABU YA HOFU YA HAO WALIO WEKA HUO MKONO KILA HAKI ITAPIGWA VITA ...mpaka sasa tunashuhudia kupigwa vita Nyerere na Magufuli wazi wazi ..kikundi cha Waarabu koko kinatumia kila mbinu kufanikisha kutokomeza LEGACY ZA WAZALENDO WA KWELI YA NYERERE NA MAGUFULI ....Nakumbuka vyama vya upinzani vilifurahia sana kifo cha JPM ila mimi niliwaambia kwa kutumia ujiniasi wangu kuwa wasifurahi bila kwanza ya kujua kama kifo cha jpm kina mkono wa mtu au la, wao wakaniona mjinga nisiye na akili ...sasa mara tu tukasikia Mbowe gaidi yupo rupango watu wote wasio na akili wa chama tawala na waupinzani wakabaki kushangaa kwanini kesi inazidi kusongeshwa mbele na sa100 wakati adui yao alikuwa ni magufuli...imekuwaje...wengine wakasema sa100 kapatia yote ya kumchafua na kumponda JPM ila kakosea kwenye kesi ya mbowe tu kumbe kumbe kumbe[emoji117]HAWAKUJUA ILI FUMBO LA KIJINIASI LILILO NDANI YA HAYA MANENO NILIYO WAAMBIA KUWA WASIFURAHI KIFO CHA JPM HADI WAJUE KAMA KINA MKONO WA MTU AU LA. Kwa maana yote yaliyo kipata chadema na mbowe yapo ndani ya ilo fumbo ...kama kifo kilikuwa cha kawaida basi ndipo wapinzani wafurahi ila kama kilikuwa na mkono wa mtu bali lazima ?mbele kutakuwa na kilio na kusaga meno .....Pia kuhusu swala la katiba pia linategemea hicho kifo kama ni mkono wa mtu basi ni ujinga kudhani kuwa katiba ya kweli itapatikana kwa kupitia SA100
Hebu pitia Andrews hapo dukani utoe gesi....

1661548687104.png
 
"kama hayupo nasi, sio mwenzetu"

nilidhani haya yaliisha na Mwamba, kumbe bado yapo!

Generali Mabeyo (mstaafu), hii sio haki ya Mtanzania inakiukwa? Nguvu zote hizi za dola kwa mtu mdogo kama huyu?

ila dogo haelewi hizi tozo ni sehemu ya kuwarudishia wale walioporwa na Mwamba! Anaingilia jambo la watu. Sio kwa uyoga tunaouona unaota kwa spidi huko mtaani!
Kweli mkuu naona wameamua kujilipa.
 
Taarifa iliyotufikia hivi punde inasema kwamba Jonas Afumwisye meneja wa TRC aliyesimamishwa kazi kwa kupinga Tozo, AMEKAMATWA NA POLISI.

Wakili wa Meneja huyo Peter Kibatala, amedai kupigiwa simu na Mteja wake Ndugu Afumwisye na kuelezwa kwamba amefuatwa na Polisi nyumbani kwake ambao wametumwa kumkamata.

View attachment 2335762

Chanzo : MwanaHalisi
Inawezekana kesi ishaandaliwa, atabambikiziwa tuu!
 
Back
Top Bottom