Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We ni mgeni kwenye hili kwaniKama ni kweli, sishangai. Tanzania is a police state!
Kwan ukiandika kwa staha na lugha nzuri huwezi kueleweka? Mpaka mtukane?Mashoga mmekuwa wengi sana siku hizi kwann mnapenda kutekenywa nyuma
Anajifanya halitambui hiloJana ni Mbowe , leo ni Afumwisye kesho ni wewe .
Shetani hana rafiki
Kwahiyo shida yake hasa ni nini dhidi ya mamlaka?Kak huyu jamma alisimamishwa Kaz mwka jana kipind miezi Kama hii hii kipindi tozo za miamala ya simu na umeme ilivyoanzishwa
Na pia skataka la kina mdee lilimposa
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Hata akishinda, harudishwi kazini, na mafao yake atayasotea miaka 70, watalipwa wajukuu wakeAmemtukana Nani?. Kupinga too ndio matusi?. Mmemfukuza kazi halafu mnaenda kumkamata Tena. Akina kibatala watamtetea kwenye kesi zote mbili.
Baba yako alivyoongoza familia yake unamuweka kundi gani?Tanzania napo kuna viongozi?
Mapepo wabayaIna maana bado ulikuwa hulijui hili!??View attachment 2335928
...Kukataa Tozo, ndio Matusi Makubwa Makubwa?.....Matusi mazito sana ya nguoni dhidi ya viongozi wetu, acha ahenye
Kwa kweli huwa siombei maana unakuwa huna amani, furaha yote inatoweka hakuna kitu kizuri kitapita au ukione halafu ukipende, mwanzo mwisho ni mawazo tu.Mungu amsaidie mshikaji asolve hili jambo liishe awe huru basi mambo mengine yatajisort baadaye.Asante mkuu usiombe hio situation ikukute. I was overstressed!
2025 wanalala Mbabe wao hayupoBila Polisi ccm ni wepesi kuliko pamba
Wameanza kumtisha ili asitafute haki yake, hili taifa tunahitaji ukombozi wa mara ya pili.
Hatakiwi kukata tamaa, apambane atashinda, hayo ni mapito tu ya nchi yetu.
Kweli kabisa, Inawezekana watu wa Mbeya wakaja kulikomboa taifaKama Mnyakyusa vile jina lake, hii ni Chuki!
Mkuu unaamini vibaya, polisi sio sehemu salamaHebu tuwe na subira basi. Maana kila mtu ataanza kuongea lake. Ninachoamini Polisi Tanzania ni sehemu salama. Kama kweli yupo au hayupo tutaelezwa.🙏🙏🙏
Hapo ni ubabe utatumika aisee, maana kama suala la barua kuvuja hata Masanja Kadogosa anaweza kuwa ndio mvujishaji maana nae ana nakala.Kwa serikali hii ya chawasynthesis lazma muhuni atakomeshwa! Kwanza kavujisha barua aliotwangwa na boss.
Hio situation ya hivyo ilinikutaga staki kukumbuka nilipigwa disclipinary comittee round 2 nikapangua accusations ila mwisho walitumia ubabe tu sababu VC alitaka nikomeshwe.
Wale waliyojidai eti mama anaupiga mwingi oneni sasa. Wahuni wake kina nape mnauye wanaanza kukosa uvumilivu hadi kumkamata mwananchi kwa kutoa mawazo yake. Kazi wamemsimamisha kinyume na sheria ya ajira ya nchi haikutosha sasa wanamkamata.Taarifa iliyotufikia hivi punde inasema kwamba Jonas Afumwisye meneja wa TRC aliyesimamishwa kazi kwa kupinga Tozo, AMEKAMATWA NA POLISI.
Wakili wa Meneja huyo Peter Kibatala, amedai kupigiwa simu na Mteja wake Ndugu Afumwisye na kuelezwa kwamba amefuatwa na Polisi nyumbani kwake ambao wametumwa kumkamata.
View attachment 2335762
Chanzo : MwanaHalisi