Unaweza kuthibitiha we mbwiga? Vitisho, ikiwemo matukio kama hayo, hutumiwa sana na vyama tawala visivyojiamini kuelekea uchaguzi kwa lengo la kutisha wananchi!CCM au Magufuli hahitaji kuchoma ofisi ya CHADEMA ili kushinda uchaguzi wowote, interesting part ni wanachoma wenyewe siku moja kabla Lissu hajafika huo mkoa, hii kiki wanategemea itampandisha Lissu, upuuzi mtupu.
Nasubiri viongozi wa kidini wakemee matukio kama haya, lakini naona wame -"mute"!!Maharamia kwa baraka za Ibilisi anayetawala anga la Tanzania wamechoma moto
Ndio utaalamu wao wa kupata wateja na kujitangazaHabari hii ni kwa mujibu wa tweet ya kiongozi wa CHADEMA, Parick Ole Sosopi aliyoi-post dakika chache zilizopita asubuhi ya hii.
View attachment 1541770
Apo Iringa ?? Bwa shee we ni wa nchi gani ???Chalamila nae ni kirusi hapo Iringa ni baadhi ya watumishi waliopata fadhila za kuteuliwa na Rais ila wanachofanya sidhani kama watabaki salama wakati wakiondolewa madarakani maana Mahakama zitajaa kesi nyingi za viongozi waliopita
Hao si viongozi wa dini, ni masheikh ubwabwa na wachungaji wa pilauNasubiri viongozi wa kidini wakemee matukio kama haya, lakini naona wame -"mute"!!
Waache walikoroge, watalinywa wenyewe!Mh! Kutoka kwa DC Sabaya mpaka kwa RC Chalamila tena!
"Mna akili nyingi sana". Ni ninyi wale wale: Mbowe kavunja mguu kwa ulevi; ofisi za chadema zinachomwa na wanachadema; Lissu kajifyatulia risasi mwenyewe. Kweli mnatisha!Serikali ya CCM kupitia Jeshi la Polisi ambalo mara kibao limejinasibu kupata taarifa za kiintelijensia za fujo kwenye mikutano ya Cdm limeshindwa kupata taarifa ya Cdm kujichomea ofisi zao ili wapate kiki na kuwachukulia hatua za kisheria?
Tumechagua magaidi for sure! Magu unaongoza ugaidi tuachie nchi yetu!Magufuli punguza uoga , kama umejenga daraja si usubiri yaje yakupigie kampeni, pia hela za Tetemeko Bukoba.
chadema wana fanya matukio wenyewe kusingizia ccmHabari hii ni kwa mujibu wa tweet ya kiongozi wa CHADEMA, Parick Ole Sosopi aliyoi-post dakika chache zilizopita asubuhi ya hii.
View attachment 1541770
This is getting serious, vyimbo vyetu vya ulinzi na usalama vinafanya niniHabari hii ni kwa mujibu wa tweet ya kiongozi wa CHADEMA, Parick Ole Sosopi aliyoi-post dakika chache zilizopita asubuhi ya hii.
View attachment 1541770
Kama MungikiTutachoma nasisi! Jino kwa jino!
Tumechoka, ngoja tuwafunze adabu hawa wakala wa shetani
Wanangoja nini kushikwa mkuu, maana si kuna kulipoti police mkiwa na zile tuhuma, na hizo tuhuma zinaanza KUFANYIWA KAZI?Wewe ------- hujui ulisemalo, Tayari vijiwe vyote washawatambua hao CCM waliopewa hela ya ubwabwa kuchoma ofisi Moto,halafu unakuja na dela lako kuongea utopolo wako hapa
Hivi magufuli ahangaike kuchoma hiko kiofisi chenu hivi una akili kweli wewe ?Magufuli punguza uoga , kama umejenga daraja si usubiri yaje yakupigie kampeni, pia hela za Tetemeko Bukoba.