Bemendazole
JF-Expert Member
- Nov 14, 2020
- 2,649
- 6,680
Hao wamesajiliwa na tume labda!Huo ni ukandamizaji, mbona tunaona watu wamevaa nguo zenye bendera ya Marekani, Israel nk na hawabughuziwi
Hahahaaaa....... Ufipa mmeshavurugwa!Hakuna chama hapo ni genge la wasaka Tonge
Fala niniUmoja Party for idiots
Chama hata halijaanza kiko na fire
Fire kituo cha Mabasi au?Chama hata halijaanza kiko na fire
π€£π€£π€£βοΈPanda gari Hadi Kigoma, vuka mpaka nenda Burundi, pale Bujumbura kuna ofisi zao ndogo utapata
We mtu anaesema kichaa Zumaridi ni Mungu anadhani kichwani kwake kutakuwa sawa?"Fulana zenye picha ya kiongozi ambaye sio mwanachama wao"
πππ
Ni uonezi kama wanavyo tufanyia sisi wa kanda maalumu, wanatuzuia kupigana wakati wenzetu Congo, Sudan, Somalia na Ethiopia wanapigana hakuna anayewazuiaHuo ni ukandamizaji, mbona tunaona watu wamevaa nguo zenye bendera ya Marekani, Israel nk na hawabughuziwi
Huku ndiko tunatakiwa kukimbiliaMarufuku mtu yoyote au taasisi kutumia jina, nembo, rangi na alama ya chama cha siasa cha "Umoja Party" hadi mchakato wa kupata usajili wa muda utakapokamilika.
KAULI MBIU: Umoja Pate "Napenda kuwaereza ukweri,,,""Fulana zenye picha ya kiongozi ambaye sio mwanachama wao"
πππ
To sababu.Endapo Raisi wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania angelikuaga ni Muislamu, vitu vingi sana vingekua tofauti na tunavoona leo.
Bahati mbaya sana, akaanza Mkatoliki (dhehebu langu)
Aaaaaah
Nyerere alivowekwa madarakani (kwa backup ya Waislamu) akawageuka.To sababu.
#MaendeleoHayanaChama