Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa: Umoja Party hakijapata usajili wa muda. Anayetumia bendera, nembo au alama ya chama hicho anakiuka Sheria

Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa: Umoja Party hakijapata usajili wa muda. Anayetumia bendera, nembo au alama ya chama hicho anakiuka Sheria

Huo ni ukandamizaji, mbona tunaona watu wamevaa nguo zenye bendera ya Marekani, Israel nk na hawabughuziwi
Ni uonezi kama wanavyo tufanyia sisi wa kanda maalumu, wanatuzuia kupigana wakati wenzetu Congo, Sudan, Somalia na Ethiopia wanapigana hakuna anayewazuia
 
According to Muslims “ sehemu yeyote inayotawaliwa na mwana Mke Imelaaniwa’’ Bora waje watuepushe na laana hizi za Allah.
 
Endapo Raisi wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania angelikuaga ni Muislamu, vitu vingi sana vingekua tofauti na tunavoona leo.

Bahati mbaya sana, akaanza Mkatoliki (dhehebu langu)

Aaaaaah
To sababu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom