Bemendazole
JF-Expert Member
- Nov 14, 2020
- 2,649
- 6,680
Kipeni usajili tuchangamkie fursa... Mie nautaka uenyekiti wa mkoa wa Iringa 😀😀😀 niishi kwa ruzuku!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao wamesajiliwa na tume labda!Huo ni ukandamizaji, mbona tunaona watu wamevaa nguo zenye bendera ya Marekani, Israel nk na hawabughuziwi
Hahahaaaa....... Ufipa mmeshavurugwa!Hakuna chama hapo ni genge la wasaka Tonge
Fala niniUmoja Party for idiots
Chama hata halijaanza kiko na fire
Fire kituo cha Mabasi au?Chama hata halijaanza kiko na fire
🤣🤣🤣☝️Panda gari Hadi Kigoma, vuka mpaka nenda Burundi, pale Bujumbura kuna ofisi zao ndogo utapata
We mtu anaesema kichaa Zumaridi ni Mungu anadhani kichwani kwake kutakuwa sawa?"Fulana zenye picha ya kiongozi ambaye sio mwanachama wao"
😂😂😂
Ni uonezi kama wanavyo tufanyia sisi wa kanda maalumu, wanatuzuia kupigana wakati wenzetu Congo, Sudan, Somalia na Ethiopia wanapigana hakuna anayewazuiaHuo ni ukandamizaji, mbona tunaona watu wamevaa nguo zenye bendera ya Marekani, Israel nk na hawabughuziwi
Huku ndiko tunatakiwa kukimbiliaMarufuku mtu yoyote au taasisi kutumia jina, nembo, rangi na alama ya chama cha siasa cha "Umoja Party" hadi mchakato wa kupata usajili wa muda utakapokamilika.
KAULI MBIU: Umoja Pate "Napenda kuwaereza ukweri,,,""Fulana zenye picha ya kiongozi ambaye sio mwanachama wao"
😂😂😂
To sababu.Endapo Raisi wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania angelikuaga ni Muislamu, vitu vingi sana vingekua tofauti na tunavoona leo.
Bahati mbaya sana, akaanza Mkatoliki (dhehebu langu)
Aaaaaah
Nyerere alivowekwa madarakani (kwa backup ya Waislamu) akawageuka.To sababu.
#MaendeleoHayanaChama