Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UMOJA Party.... fo eviri badee [emoji23][emoji23] konde boi voisiUmoja party for every body
Panda gari Hadi Kigoma, vuka mpaka nenda Burundi, pale Bujumbura kuna ofisi zao ndogo utapataNaomba nijuzwe namna ya kupata kadi ya chama kipya cha Umoja Party hapa Dodoma jiji. Tayari nimeshawishi vijana zaidi ya 50 wapo tayari kujiunga hata leo. Pia naomba kujua gharama za fulana za chama.
#Magufulification_of_Africa
Mkuu nimetoka kuomba na Mimi huko group fulani.Naomba nijuzwe namna ya kupata kadi ya chama kipya cha Umoja Party hapa Dodoma jiji. Tayari nimeshawishi vijana zaidi ya 50 wapo tayari kujiunga hata leo. Pia naomba kujua gharama za fulana za chama.
#Magufulification_of_Africa
Ofisi za muda ziko Bujumbura na Kigali! Nenda utapatamimi pia
Huo ni ukandamizaji, mbona tunaona watu wamevaa nguo zenye bendera ya Marekani, Israel nk na hawabughuziwiMarufuku mtu yoyote au taasisi kutumia jina, nembo, rangi na alama ya chama cha siasa cha "Umoja Party" hadi mchakato wa kupata usajili wa muda utakapokamilika.
Kavae Burundi utaachwaHuo ni ukandamizaji, mbona tunaona watu wamevaa nguo zenye bendera ya Marekani, Israel nk na hawabughuziwi
Bado kurudishwa BurundiPicha limewaanzia
Hahaha
Ova
Endapo Raisi wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania angelikuaga ni Muislamu, vitu vingi sana vingekua tofauti na tunavoona leo.
Bahati mbaya sana, akaanza Mkatoliki (dhehebu langu)
Aaaaaah
Kama nakuelewa hiviEndapo Raisi wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania angelikuaga ni Muislamu, vitu vingi sana vingekua tofauti na tunavoona leo.
Bahati mbaya sana, akaanza Mkatoliki (dhehebu langu)
Aaaaaah