Uchaguzi 2020 Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa: Vyama vya Siasa vinavyotaka kushirikiana Uchaguzi Mkuu vimeshachelewa kwa mujibu wa Sheria

Uchaguzi 2020 Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa: Vyama vya Siasa vinavyotaka kushirikiana Uchaguzi Mkuu vimeshachelewa kwa mujibu wa Sheria

Huyu msajili mshamba sana.

Vyama huwa vinashirikiana hata BAADA ya kura ili kuchanga kura zao ku form a coalition.

Hii ndio alama kuwa bado tuko nyuma sana. Tena kwa kawaida ni vyama kushirikiana baada ya uchaguzi - ili kuunda serikali!! Mwanzoni kila mmoja anajaribu kuunda serikali yake!

Tuko nyuma sana.
 
Vyama havifanyi Coalition, ila vyama kadhaa vinakisapoti chama kimoja.
Hata TLP na UDP vinaisapoti CCM

Linatafutwa goli kwa namna zote halali na haramu zote kwao sawa.

Ila mwaka huu pana watu watakiona kilichomtoa kanga manyoya.
 
Back
Top Bottom