M mwita ke mwita JF-Expert Member Joined Aug 13, 2010 Posts 7,922 Reaction score 3,618 Sep 23, 2020 #101 kuna tofauti kubwa kati ya kuungana na kushirikiana
N NewOrder JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 2,120 Reaction score 2,833 Sep 23, 2020 #102 Jidu La Mabambasi said: Huyu msajili mshamba sana. Vyama huwa vinashirikiana hata BAADA ya kura ili kuchanga kura zao ku form a coalition. Click to expand... Hii ndio alama kuwa bado tuko nyuma sana. Tena kwa kawaida ni vyama kushirikiana baada ya uchaguzi - ili kuunda serikali!! Mwanzoni kila mmoja anajaribu kuunda serikali yake! Tuko nyuma sana.
Jidu La Mabambasi said: Huyu msajili mshamba sana. Vyama huwa vinashirikiana hata BAADA ya kura ili kuchanga kura zao ku form a coalition. Click to expand... Hii ndio alama kuwa bado tuko nyuma sana. Tena kwa kawaida ni vyama kushirikiana baada ya uchaguzi - ili kuunda serikali!! Mwanzoni kila mmoja anajaribu kuunda serikali yake! Tuko nyuma sana.
B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 31,698 Reaction score 41,733 Sep 23, 2020 #103 anophelesi said: Vyama havifanyi Coalition, ila vyama kadhaa vinakisapoti chama kimoja. Hata TLP na UDP vinaisapoti CCM Click to expand... Linatafutwa goli kwa namna zote halali na haramu zote kwao sawa. Ila mwaka huu pana watu watakiona kilichomtoa kanga manyoya.
anophelesi said: Vyama havifanyi Coalition, ila vyama kadhaa vinakisapoti chama kimoja. Hata TLP na UDP vinaisapoti CCM Click to expand... Linatafutwa goli kwa namna zote halali na haramu zote kwao sawa. Ila mwaka huu pana watu watakiona kilichomtoa kanga manyoya.
B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 31,698 Reaction score 41,733 Sep 23, 2020 #104 mwita ke mwita said: kuna tofauti kubwa kati ya kuungana na kushirikiana Click to expand... Tatizo ni kuwa haipo nia njema kutokea upande wa mamlaka.
mwita ke mwita said: kuna tofauti kubwa kati ya kuungana na kushirikiana Click to expand... Tatizo ni kuwa haipo nia njema kutokea upande wa mamlaka.