Heavy equipment
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,456
- 1,005
Upelelezi haujakamila sasa tufanyaje narudia hatutaki chuki ili safari ya mama 2030 iwe nyeupeKila aliyefungwa ni chuki? Ina maana hii nchi hakuna wahalifu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upelelezi haujakamila sasa tufanyaje narudia hatutaki chuki ili safari ya mama 2030 iwe nyeupeKila aliyefungwa ni chuki? Ina maana hii nchi hakuna wahalifu?
Ki ukweli ni fedheha sana, lakini ni moja wapo ya kazi za dpp kufuta kesi ambazo ki msingi zinakuwa zimekaa mahakamani muda mrefu, huku ushahidi haukamiliki, au ushahidi uliopo hauwezi kumtia hatiani mtuhumiwa, sema kutokana na UZANDIKI, na UBAMBIKIAJI kesi uliofanyika na awamu ya tano, ndio maana sasa DPP, anaonekana kama ana fanya mchezo vile!!hao tutakuwa tuna walaumu tu lakini hakukuwa na namna kwani MWENDAZAKE, ndio alikuwa injinia wa yote hayo!!kwani ukiwasikiliza hao wakina mwiguru, job, na wengine utadhania walikuwa wanaishi nje ya nchi ndio wamerudi nchini!!!Bora dpp asafishe tu ili sasa aanze upya, yaani irudi kama zamani iwe nadra kusikia dpp amefuta mashitaka kwa mtuhumiwa,Ofisi ya DPP imegeuka kuwa ofisi ya wafuta mashtaka badala ya ofisi ya waendesha mashtaka. Haya madaraka mapya yakufuta mashtaka wameyatoa wapi?
Kwanini imeacha jukumu la msingi la kuanzishwa kwake? Kama wamebaini walikosea, hao waliokosea kifungua mashtaka wanasubiri nini kushtakiwa?
Yaani nyie mbwa mpaka leo haijulikani mnataka nini,Ofisi ya DPP imegeuka kuwa ofisi ya wafuta mashtaka badala ya ofisi ya waendesha mashtaka. Haya madaraka mapya yakufuta mashtaka wameyatoa wapi?
Kwanini imeacha jukumu la msingi la kuanzishwa kwake? Kama wamebaini walikosea, hao waliokosea kifungua mashtaka wanasubiri nini kushtakiwa?
Sasa imekuwaje hao matapeli maarufu mmeshindwa kuwatia hatiani toka 2019? Kama ushahidi mlikuwa nao?Naamini labda DPP hakuelewa vyema maelekezo maana anaachia Kila mtu,
Yaani mpaka matapeli maarufu.
M.bwa nyie, hamjulikani mnataka nini, dikteta ndio alikuwa anawaweza kumbe k.enge nyinyiHapa DPP anaenda kutengeneza bomu ambalo litaiathiri serikali yote kwa ujumla
..Mashehe wa Uamsho walipwe FIDIA.
We jamaa zaidi ya kutukana kuna lingine unajua?Yaani nyie mbwa mpaka leo haijulikani mnataka nini,
Mmelaaniwa kkmm
Hamna jema wapuuzi nyie
Kumbe Bora dikteta alivyokuwa anawatia adabu mazuzu wakubwa nyie
Huyo simuelewagiMfuasi wa mwenda zake huyo Beatrace Conrad Push gang ,kashasahau enzi za jiwe walitolewa kibao tu kwa plea bargain.
Chizi uyo, yaani Kuna mijitu wao kazi yao Ni kupinga kila kitu, na iko wanachokipinga kikifanywa,watapinga pia,Huyo simuelewagi
Mpaka sasa hajuwi anapigania nini
Ova
DPP anafuta kesi zisizo na ushahidi.Hivi mtu anakaa mahabusu zaidi ya miaka 5 mpaka 7 kula siku tunafanya uchunguzi inakuingia akulini kweli.Futa zote kama unataka kumshitaki mtu aliyefutiwa kesi bado ujakatazwa kumfungulia mashtaka kama unaushahidi .Kwanza unaweka watu ndani bila kuwahukumu kwa more than 5 years ni gharama kwa serikaliOfisi ya DPP imegeuka kuwa ofisi ya wafuta mashtaka badala ya ofisi ya waendesha mashtaka. Haya madaraka mapya yakufuta mashtaka wameyatoa wapi?
Kwanini imeacha jukumu la msingi la kuanzishwa kwake? Kama wamebaini walikosea, hao waliokosea kifungua mashtaka wanasubiri nini kushtakiwa?
Ana mattress huyoChizi uyo, yaani Kuna mijitu wao kazi yao Ni kupinga kila kitu, na iko wanachokipinga kikifanywa,watapinga pia,
Majitu tayari yashazoea kuendeshwa kidiktekta dikteta
Chizi uyo, yaani Kuna mijitu wao kazi yao Ni kupinga kila kitu, na iko wanachokipinga kikifanywa,watapinga pia,
Majitu tayari yashazoea kuendeshwa kidiktekta dikteta
Ofisi ya DPP imegeuka kuwa ofisi ya wafuta mashtaka badala ya ofisi ya waendesha mashtaka. Haya madaraka mapya yakufuta mashtaka wameyatoa wapi?
Kwanini imeacha jukumu la msingi la kuanzishwa kwake? Kama wamebaini walikosea, hao waliokosea kifungua mashtaka wanasubiri nini kushtakiwa?
Kuna yule aliachia wabakajiNaamini labda DPP hakuelewa vyema maelekezo maana anaachia Kila mtu,
Yaani mpaka matapeli maarufu.
Kaa kwa kutulia wew taga, umeambiwa wafungwa wote wameisha?Kila aliyefungwa ni chuki? Ina maana hii nchi hakuna wahalifu?
Acheni kuleta Siasa kwenye kila
kitu jamani
Kila jambo huja na mapungufu yake na pia hutumika kama fursa zaidi kwani wajanja wachache watautumia mwanya huo kuwapenyeza watuhumiwa wengi wapate kuachiwa huruOfisi ya DPP imegeuka kuwa ofisi ya wafuta mashtaka badala ya ofisi ya waendesha mashtaka. Haya madaraka mapya yakufuta mashtaka wameyatoa wapi?
Kwanini imeacha jukumu la msingi la kuanzishwa kwake? Kama wamebaini walikosea, hao waliokosea kifungua mashtaka wanasubiri nini kushtakiwa?