Ofisi ya Waendesha Mashtaka kugeuka kuwa ofisi ya wafuta mashtaka kunatia doa mfumo wa haki nchini

Ofisi ya Waendesha Mashtaka kugeuka kuwa ofisi ya wafuta mashtaka kunatia doa mfumo wa haki nchini

Pale Gereza la Songwe zaidi ya asilimia 60 ya mahabusu wana kesi za mauaji, Katibu Mkuu Utumishi na Katibu Mkuu wizara ya katiba na sheria walifanya ziara ya kustukiza mwezi wa 5 mwaka huu..
Katika kufanya udadisi makatibu hao wakuu wakachukua mahabusu mmoja wakamuuliza ulifanya mauaji wapi? Akawajibu simjui niliye muuwa.. Nimetoka safari katika kuzurura nitafute sehemu ya kulala nilikamatwa na askari usiku.. Wakitaka chochote.. Matokeo yake nipo humu ndani miezi minne upelelezi bado....
Sasa fikiri ni wangapi wamebambikwa kesi?
 
Ofisi ya DPP imegeuka kuwa ofisi ya wafuta mashtaka badala ya ofisi ya waendesha mashtaka. Haya madaraka mapya yakufuta mashtaka wameyatoa wapi?

Kwanini imeacha jukumu la msingi la kuanzishwa kwake? Kama wamebaini walikosea, hao waliokosea kifungua mashtaka wanasubiri nini kushtakiwa?
Ki ukweli ni fedheha sana, lakini ni moja wapo ya kazi za dpp kufuta kesi ambazo ki msingi zinakuwa zimekaa mahakamani muda mrefu, huku ushahidi haukamiliki, au ushahidi uliopo hauwezi kumtia hatiani mtuhumiwa, sema kutokana na UZANDIKI, na UBAMBIKIAJI kesi uliofanyika na awamu ya tano, ndio maana sasa DPP, anaonekana kama ana fanya mchezo vile!!hao tutakuwa tuna walaumu tu lakini hakukuwa na namna kwani MWENDAZAKE, ndio alikuwa injinia wa yote hayo!!kwani ukiwasikiliza hao wakina mwiguru, job, na wengine utadhania walikuwa wanaishi nje ya nchi ndio wamerudi nchini!!!Bora dpp asafishe tu ili sasa aanze upya, yaani irudi kama zamani iwe nadra kusikia dpp amefuta mashitaka kwa mtuhumiwa,
 
Ofisi ya DPP imegeuka kuwa ofisi ya wafuta mashtaka badala ya ofisi ya waendesha mashtaka. Haya madaraka mapya yakufuta mashtaka wameyatoa wapi?

Kwanini imeacha jukumu la msingi la kuanzishwa kwake? Kama wamebaini walikosea, hao waliokosea kifungua mashtaka wanasubiri nini kushtakiwa?
Yaani nyie mbwa mpaka leo haijulikani mnataka nini,

Mmelaaniwa kkmm

Hamna jema wapuuzi nyie

Kumbe Bora dikteta alivyokuwa anawatia adabu mazuzu wakubwa nyie
 
Ofisi ya DPP imegeuka kuwa ofisi ya wafuta mashtaka badala ya ofisi ya waendesha mashtaka. Haya madaraka mapya yakufuta mashtaka wameyatoa wapi?

Kwanini imeacha jukumu la msingi la kuanzishwa kwake? Kama wamebaini walikosea, hao waliokosea kifungua mashtaka wanasubiri nini kushtakiwa?
DPP anafuta kesi zisizo na ushahidi.Hivi mtu anakaa mahabusu zaidi ya miaka 5 mpaka 7 kula siku tunafanya uchunguzi inakuingia akulini kweli.Futa zote kama unataka kumshitaki mtu aliyefutiwa kesi bado ujakatazwa kumfungulia mashtaka kama unaushahidi .Kwanza unaweka watu ndani bila kuwahukumu kwa more than 5 years ni gharama kwa serikali
 
Chizi uyo, yaani Kuna mijitu wao kazi yao Ni kupinga kila kitu, na iko wanachokipinga kikifanywa,watapinga pia,

Majitu tayari yashazoea kuendeshwa kidiktekta dikteta
Ana mattress huyo

Ova
 
Chizi uyo, yaani Kuna mijitu wao kazi yao Ni kupinga kila kitu, na iko wanachokipinga kikifanywa,watapinga pia,

Majitu tayari yashazoea kuendeshwa kidiktekta dikteta

Hao ndio real definition ya NYUMBU usikute enzi za mwendazake kipindi wanatunga sheria ya plea bargain na JIWE akawatoa watuhumiwa alishangilia ila sheria hiyo hiyo ikitumika awamu hii ya 6 anaipinga Hahahaaaa!! Push Gang watapata tabu sana! mikumi tena kazi iendelee,
 
Ofisi ya DPP imegeuka kuwa ofisi ya wafuta mashtaka badala ya ofisi ya waendesha mashtaka. Haya madaraka mapya yakufuta mashtaka wameyatoa wapi?

Kwanini imeacha jukumu la msingi la kuanzishwa kwake? Kama wamebaini walikosea, hao waliokosea kifungua mashtaka wanasubiri nini kushtakiwa?

Hii ni kwa muda maana kesi za kubabwikwa ndiyo zinafutwa. Serikali ilikuwa inalisha watu wengi magerezani ambao wamesingiziwa makesi ya ajabu. Kama una ushahidi nenda kautoe lakini sio haki kesi kuchukuwa miaka hadi 8!
 
Dipipi anatimiza majukumu yake vizuri ya kuendesha mashitaka yanayiendesheka.

Sasa wewe utaka kila shitaka liendeshwe tu wakati halina matairi.

Muache ayafute kabisa, aendelee na yale yaliyo sahihi.
 
Acheni kuleta Siasa kwenye kila
kitu jamani

..haki lazima itendeke.

..fikiria ingekuwa ni wewe umewekwa mahabusu miaka 9 kwa tuhuma ambazo waliokukamata hawawezi kuzithibitisha.

..naamini wananchi wakianza kudai fidia wanaohusika na ukamataji na uchunguzi watakuwa makini zaidi ktk kazi zao.
 
Ofisi ya DPP imegeuka kuwa ofisi ya wafuta mashtaka badala ya ofisi ya waendesha mashtaka. Haya madaraka mapya yakufuta mashtaka wameyatoa wapi?

Kwanini imeacha jukumu la msingi la kuanzishwa kwake? Kama wamebaini walikosea, hao waliokosea kifungua mashtaka wanasubiri nini kushtakiwa?
Kila jambo huja na mapungufu yake na pia hutumika kama fursa zaidi kwani wajanja wachache watautumia mwanya huo kuwapenyeza watuhumiwa wengi wapate kuachiwa huru
 
Back
Top Bottom