Ofisi ya Waendesha Mashtaka kugeuka kuwa ofisi ya wafuta mashtaka kunatia doa mfumo wa haki nchini

Unataka muda wa kufanya upelelezi uwe kiasi gani?

Hii sio hisabati, kwamba moja jumlisha moja ni mbili.

It depends on case to case basis, available resources, technology and national security.

Kuna makesi ya mauaji yanachukua mpaka miaka kumi. Washtakiwa wamekimbia, mashahidi wameuwawa ama kujificha.

Wakati mwingine mpaka ufanye extradition, usubiri correspondences kutoka nchi jirani, ama uombe uchunguzi ufanyike kwenye foreign soil nk...

Ni rahisi sana kwa wanaharakati wa mitandaoni kupiga mayowe na kubwata...... ooh tunaonewa!!!

But when it comes to the reality on ground, mambo yanahitaji utimamu.

Mahakama haiendeshwi kwa harakati za kisiasa. Kuna michakato.
Haya mambo ya kuzisema sheria kandamizi hayajaanza kusemwa na wanaharakati wa mitandaoni.

Yamesemwa na Jaji Mkuu mstaafu wa Tanzania.

Jaji Francis Lucas Nyalali.

His Lordship Justice Nyalali alikuwa mwanaharakati wa mitandaoni?

Jaji Nyalali hakujua reality on the ground katika mfumo wa sheria wa Tanzania?
 
Sheria kandamizi ipi?

Hizo sheria zote alizozitaja Nyalali zilishafutwa baada ya kuja kwa bill of rights! Mojawapo ni sheria ya VIZUIZI.

Majitu magaidi unataka yaachiwe yakahatarishe amani?

Eti due process? Are you serious?

Majitu yanalipua makanisa, yanaua watu kwa tindikali, yanachochea ghasia.... kwanini yasishughulikiwe?

Muda wa kufanya upelelezi unategemea na uzito na mazingira ya uhalifu husika.

Wakati mwingine upelelezi unaweza kuwa hafifu, na kuwaachilia haiwezekeni kwa sababu ya hatari wanayoweza kusababisha katika jamii.

Nation security is the first priority.... usitueleze habari za Nyalali hapa.

Nchi ikichafuliwa na wahuni, huyo Nyalali hatakuwepo.

National security first.
 
Majitu unayoyaita magaidi, hata kama ni magaidi kweli, umeyashitaki lini mahakamani na kuyapa nafasi ya kujitetea na kuhukumiwa na mahakama kama inavyotakiwa na katiba, ili tujue kweli ni majitu magaidi kwa mujibu wa hukumu ya mahakama na si kwa Islamophobia za watu tu?

Kwa nini unavunja kanuni ya kikatiba ya presumption of innocence na kuwahukumu hawa watu magaidi wakati serikali yenyewe imeshindwa kujenga kesi kwamba haya ni majitu magaidi mpaka ikaamua kuyaachia?
 
Ni rahisi sana kuongea kwa nadharia, lakini mambo ni tofauti sana katika uhalisia.

Ngoja wakumwagie matindikali halafu utajua maana halisi ya "presumption of innocence".
 
Unaelewa kwamba bila hiyo presumption of innocence na constitutional guards hata wewe mtu anaweza kukuzoa akakutupa jela bila sababu wala hukumu?

Unataka nchi isiyofuata sheria?
 
Tusitumie sheria kuwapaka mafuta wahalifu.

Sheria zipo kwa ajili ya ustawi wa watu na jamii.

Kinyume na hapo, hizo sheria hazitufai.
 
Unapotaka ku suspend due process na constitutional guards kama presumption of innocence hapo unakataa utawala wa sheria.

Elewa mimi sijasema hao ma sheikh si wahalifu.

Nimekataa kuwahukumu mtaani kabla mfumo wa mahakama haujakamilisha hukumu.

Nimekuambia kwamba, ukitaka ku suspend presumption of innocence na constitutional guards hata kwa mhalifu wa kweli, unafungua mlango kwa abuses za mfumo wa sheria ziwafikie wengi wasio na hatia, zikufikie hata wewe.

Yani hata mwizi na gaidi anatakiwa kupewa haki zake za kikatiba za due process na presumption of innocence.

Ili.

1. Asije kupewa msemo kwamba kaonewa na kupewa sababu ya kulalamika kwamba yeye si mwizi/ gaidi, kaonewa tu na hajapewa haki zake za kikatiba. Habari hii ikaja kuondoa focus kwenye kumuhukumu kwa haki kama mwizi/ gaidi, ikaleta focus kwenye upande wa yeye kuonewa.

2. Ukimuondolea due process na constitutional guards kama za presumption of innocence mwizi/ gaidi leo, ukataka kufanya mambo kwa shortcut, kesho utakuja kumzidi mwanasiasa kutongoza mwanamke, au utakorofishana naye kwenye biashara, halafu atakuzushia kesi kwamba wewe mwizi/ gaidi, akufunge kwa extra judicial process bila due process wala constitutional guards kama za presumption of innocence.

Suala hili unalolichukulia poa tu, kwa watu wengine, hata kama ni magaidi kweli, linaweza kuweka precedent mbaya kwa watu wengi wasio na hatia, ukiwamo wewe mwenyewe.

Tunasikia jinsi viongozi walivyobambikia watu kesi kibao za uhujumu uchumi.

Huu si wakati wa ku suspend due process na constitutional guards kama presumption of innocence.

Ni wakati wa kuziimarisha.
 
Sheria kandamizi ipi?

Hizo sheria zote alizozitaja Nyalali zilishafutwa baada ya kuja kwa bill of rights! Mojawapo ni sheria ya VIZUIZI.

Majitu magaidi unataka yaachiwe yakahatarishe amani?

Eti due process? Are you serious?

Majitu yanalipua makanisa, yanaua watu kwa tindikali, yanachochea ghasia.... kwanini yasishughulikiwe?

Muda wa kufanya upelelezi unategemea na uzito na mazingira ya uhalifu husika.

Wakati mwingine upelelezi unaweza kuwa hafifu, na kuwaachilia haiwezekeni kwa sababu ya hatari wanayoweza kusababisha katika jamii.

Nation security is the first priority.... usitueleze habari za Nyalali hapa.

Nchi ikichafuliwa na wahuni, huyo Nyalali hatakuwepo.

National security first.
You are wrong.
Bill of rights ni ya mwaka 1984.

Tume ya Jalali ni ya 1991 ndiyo ilizitaja hizo 40+ draconians laws ambazo mpaka kesho nyingi ni operational chache sana zilifanyiwa marekebisho madogo madogo 1992, 1995 na baada ya Tume ya Jaji Kissanga pointed the same draconian laws.

Kuhusu upelelezi wa kesi nyingi za mauaji unacheleweshwa na rushwa na uzembe kwa jeshi la polisi, changamoto nyingine ni taratibu za committal ambazo huchukua muda mrefu kukamilika.
 
Asante kwa kufafanua mkuu.

Nimeshangaa sana kuona mtu anaandika sheria kandamizi 40 alizozitaja Jaji Nyalali zimefutwa na Bill of Rights.

Mpaka nikawa nataka kuhakiki, je, kuna Bill of Rights nyingine imepitishwa baada ya Jaji Nyalali sijaijua?

So, the Bill of Rights point is moot because of this timeline.

Huyu jamaa nimemshusha daraja zaidi alipoanza kubishia basic constitutional rights kama presumption of innocence.

Mtu anayepinga presumption of innocence unabishana naye vipi sasa?

Huyu anaturudisha enzi za medieval mob justice and Khmer Rouge killing squads!
 
Asante kwa kufafanua mkuu.

Nimeshangaa sana kuona mtu anaandika sheria kandamizi 40 alizozitaja Jaji Nyalali zimefutwa na Bill of Rights.

Mpaka nikawa nataka kuhakiki, je, kuna Bill of Rights nyingine imepitishwa baada ya Jaji Nyalali sijaijua?

So, the Bill of Rights point is moot because of this timeline.

Huyu jamaa nimemshusha daraja zaidi alipoanza kubishia basic constitutional rights kama presumption of innocence.

Mtu anayepinga presumption of innocence unabishana naye vioi sasa?

Huyu anaturudisha enzi za medieval mob justice and Khmer Rouge killing squads!
Hapa najifunza kitu pia kuwa PTER nimwana sheria, siku zote nilikuwa nashindwa kumsoma.
 
You are wrong.
Bill of rights ni ya mwaka 1984.

Tume ya Jalali ni ya 1991 ndiyo ilizitaja hizo 40+ draconians laws ambazo mpaka kesho nyingi ni operational chache sana zilifanyiwa marekebisho madogo madogo 1992, 1995 na baada ya Tume ya Jaji Kissanga pointed the same draconian laws..
Unachobisha hapo ni kitu gani sasa?

Tume ya Nyalali ilizichambua sheria kandamizi baada ya kuja kwa BILL OF RIGHTS. Ndicho nilichosema mimi.

Kwa maneno mengine ni kuwa, bila BILL OF RIGHTS, tume ya Nyalali isingefanya kazi.

Bila BILL OF RIGHTS, wasingeweza kusema sheria ziko kinyume na haki za binadamu, kwa sababu hizo haki za binadamu hazikuwepo kwenye katiba in the first place.

Sheria kandamizi zilipimwa kwa kutumia mizania ya BILL OF RIGHTS ili kujua kama kweli ni kandamizi ama la — kisha zikarekebishwa kwa kutumia uzani huo.

Nyingi zilifutwa na zipo chache zilizorekebishwa! mfano — The Preventive Detention Act 1962, The Collective Punishment Ordinance, The Deportation Ordinance, Emergency Powers Act 1986, Resettlement of offenders Act 1969, Expulsion of undesirable persons Act 1930, Township (Removal of Undesirable Persons) Ordinance 1944 na nyingine nyingi.

Unachokosoa na kitu gani ambacho sikukisema?

Hizo sheria ambazo hazikurekebishwa ama kufutwa ni zipi?

Na kama hazikufutwa ni kwanini? Kila kitu wameeleza.
 
Laana inayolitesa bara la afrika chanzo chake ni uonevu uliopo katika mifumo ya utoaji haki.

Kesi 147 za takukuru za uonevu zinapofutwa inabidi tuangalie kwa kina na kujadili ni wangapi wameteseka ambao maisha yao yanawategemea wote waliobambikiwa kesi.
kweli kabisa
 
Back
Top Bottom