Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Haya mambo ya kuzisema sheria kandamizi hayajaanza kusemwa na wanaharakati wa mitandaoni.Unataka muda wa kufanya upelelezi uwe kiasi gani?
Hii sio hisabati, kwamba moja jumlisha moja ni mbili.
It depends on case to case basis, available resources, technology and national security.
Kuna makesi ya mauaji yanachukua mpaka miaka kumi. Washtakiwa wamekimbia, mashahidi wameuwawa ama kujificha.
Wakati mwingine mpaka ufanye extradition, usubiri correspondences kutoka nchi jirani, ama uombe uchunguzi ufanyike kwenye foreign soil nk...
Ni rahisi sana kwa wanaharakati wa mitandaoni kupiga mayowe na kubwata...... ooh tunaonewa!!!
But when it comes to the reality on ground, mambo yanahitaji utimamu.
Mahakama haiendeshwi kwa harakati za kisiasa. Kuna michakato.
Yamesemwa na Jaji Mkuu mstaafu wa Tanzania.
Jaji Francis Lucas Nyalali.
His Lordship Justice Nyalali alikuwa mwanaharakati wa mitandaoni?
Jaji Nyalali hakujua reality on the ground katika mfumo wa sheria wa Tanzania?