KERATO MOMBAA
JF-Expert Member
- Feb 4, 2025
- 4,602
- 6,274
Wana serengeti tunahtaji uwanja wa ndege kuliko jana..Nyerere mwanzilishi wa Taifa huru la Tanzania toka Tanganyika na Zanzibar.
Kama kuna jambo hakulifanya tukaja kulifanya sisi.
Tufikiri mara mbili.
Pamoja na kuwa mzaliwa wa Mkoa wa Mara, hakufikiri hata kujenga Airport Mbuga ya Serengeti.
Ila sasa sisi wajanja kumzidi tunataka kujenga.
Kitatulamba.
Mwalimu Nyerere alikuwa ni nguzo ya 4 katika Uongozi wa Taifa. Ni kweli, bila kuathiri uwezo wetu wa kuwaza ila jambo ambalo Mwalimu hakulipa umuhimu tuwe na umakini nalo.Nyerere mwanzilishi wa Taifa huru la Tanzania toka Tanganyika na Zanzibar.
Kama kuna jambo hakulifanya tukaja kulifanya sisi.
Tufikiri mara mbili.
Pamoja na kuwa mzaliwa wa Mkoa wa Mara, hakufikiri hata kujenga Airport Mbuga ya Serengeti.
Ila sasa sisi wajanja kumzidi tunataka kujenga.
Kitatulamba.
Unapojadiliana na watu wa aina hii ambao hawana 'objectivity' katika msimamo wao wa mawazo ni kupoteza muda hata uwaeleze vipi.Nakubali ndiyo maana nimeweka sababu ambazo one can argue sababu za umasikini wa Tz. Ktk maandishi na mijadala mingi nimeona watu wakijumuisha hizo sababu. Hata hivyo nimeweka hapo ili akubakibau akatae atoe sababu zake. Hoja yangu ipo ktk kila tunamvyo mlaumu Nyerere tuweke sababu ili hiyo sababu ijadiliwe.
Kasikilize mipasho ya Mzee wenu WasiraHizi hadithi za kina alinacha
Yes hili ndo huwa tunaliongea kila siku kuwa kuna mambo kila binadamu anakosea. Yanatakiwa yabainishwe kwa uwazi. Kwa mfano rais Nyerere alikuwa wa kwanza kukubali makosa yake akawaomba waTz tusonge mbele tena akiwa hai. The same to mwinyi moka akajiuzulu, Mkapa the same. Sina shida na mtu kukosea Nina shida na watu kusema Nyerere amekosea bila kutaja makosa yake. Hapa kuna watu wengine wanamchukia Nyerere just kwa akili ya mapinduzi. Lakini hawamkosoi kwa ajiki ya mchango wa uhuru Namibia, S A , Mozambique, Angola na Africa kwa ujumla Sasa unawaza hapa Znz kuna nini?
Unakuta kuna Sultan na uislam. Hawahawa wanaosema mapinduzi yalikuwa matukufu na Karume alikubalinMuungano leo wanamsema Nyerere.
Yaani Nyerere angalikuwa hai kuyashuhudia haya angejua roho za hawa jamaa zetu zikoje.
Ungrateful kbsaa
Mkuu 'james', mimi naelewa ni wapi unaposimamia, na sina shaka juu ya hilo; lakini kukubaliana na hawa 'detractors' kwamba sababu ya Tanzania leo hii kuwa maskini ni Nyerere; hili hapa nadhani hata wewe mwenyewe huamini kuwa unakubaliana na hao watu.Nakubali ndiyo maana nimeweka sababu ambazo one can argue sababu za umasikini wa Tz. Ktk maandishi na mijadala mingi nimeona watu wakijumuisha hizo sababu.
Wewe umesoma kitabu, lakini hata uwezo tu wa kueleza machache kwa ufupi huna?Kasome kitabu cha Marehemu Rais Aboud Jumbe, cha The Partner-ship: Muungano wa Tanganyika na Zanzibar: Miaka 30 ya Dhoruba, humo utamjua Nyerere kuwa ni Cobra hatari sana
Kweli wewe ni teja wa mipasho ya Mzee Wasira. Yaani mchina kaja kwao TzPunguza kukaa vijiwe vya gahawa.
Mchaga kutoka Marangu kwenda Sumbawanga siyo kwamba kakimbia kwao.
Kasikilize mipasho ya Mzee wenu Wasira
Kwetu Mara,Wana serengeti tunahtaji uwanja wa ndege kuliko jana..
Hayo mawazo yako mfu tutolee hapa
Nyerere alifanya sehemu yake, acha na wengne wafanye!
Ebu tuambie madhara ya uwanja wa ndege ndani ya serengeti!
Nilisoma maandishi haya huko chini ukijibiwa na mkuu 'Mpwimbe', ikanibidi niyatafute huku yalikoanzia.Akili hizi za CCM kuamini Nyerere alikua ndio kila kitu hadi kusema zidumu fikra za mwenyekiti ndio unalidumaza taifa badala ya kwenda mbele linarudi nyuma.
Amka kutoka usingizini fikra zake zilishakufa na sio kila alichokianzisha bado kipo au kilikua sawa .
Mwaka 1999 wakati analazwa St Thomas pale London ili kumuona ilihitaji mtu asafiri kwenda London ila mwaka huu 2026 kama angekuwepo wanafamilia katika kumjulia hali wangeweza kumpigia moja kwa moja kutoka Mwitongo wakamuona kwa kutumia video call akiwa London japo kwa kipindi hicho isingewezekana.
Hivyo dunia inasonga mbele hairudi nyuma muungano uchwara hauna tija kwa wakati huu ndio maana bongo mpya zinaukataa na sababu halisi zipo.
Nyerere alianzisha mwenge unaofuja mabilioni ya pesa ila leo hii ukimuuliza kijana faida moja ya mwenge ni ipi hutoipata.
Nina hakika ya zaidi ya asilimia 80; dalali wa PPP, aka Bw. Tumbili (Kafulila) hatakuwa mbali sana na kundi hilo linalotafuta fursa ya kutumia jasho la waTanzania katika mipango ya namna hii.Kwetu Mara,
Ila kama uwanja unajengwa Mbugani mimi siafiki.
Lakini pia kuchukua pesa za wastaafu kujengea uwanja siafiki.
Chizi yeyote hawezi kushindwa kuandika kama ulivyoandika hapa.Nyerere hakuwa Mungu na yapo mengi alikuwa anakosea na mengine hakuwa anayajua. Usiwatishe wenye uthubutu wa kufanya tofauti.
Kiufupi hali tulonayo sasa kiuchumi na kimaisha yeye amechangia pakibwa kuzidi kuzorota. Yaani sisi sio wa kuzidiwa kiuchumi na nchi kama Singapore na Malaysia. Nchi ambazo hazina resources zozote.
Nimekuwekea clip usikilize unasema ni vikao vya kijiwe , nikakuwekea kitabu cha Aboud Jumbe ukamsome ni Nani Nyerere unasema Mimi siwezi kueleza machache . Machache ya kazi gani wakati ukisoma utaona kwa uwazi namna Nyerere alivyonyakuwa mamlaka ya Zanzibar kinyemela na kuidhoofisha Zanzibar. Namna gani alivyokuwa akipinga serikali tatu. Nk Babu yenu Laanatullahi Nyerere alikuwa cobra na mdini anayechukia uislamu hatari hasa Zanzibar akiichukia hatari , sijui ilimkosea niniWewe umesoma kitabu, lakini hata uwezo tu wa kueleza machache kwa ufupi huna?
Sasa utaanzia wapi kuelewa juhudi alizofanya Mwalimu katika ujenzi wa taifa hili?
Wewe itakuwa ni mmoja wa wanaokula kwa urefu wa kamba yakoChizi yeyote hawezi kushindwa kuandika kama ulivyoandika hapa.
Sasa tueleze umeanza lini kuwa chizi!
hao "wakufanya utofauti" ndio miungu wako?
Kwa hiyo ushuhuda wako wewe usiokuwa na dosari ni huo wa Jumbe ana hizo video?Nimekuwekea clip usikilize unasema ni vikao vya kijiwe , nikakuwekea kitabu cha Aboud Jumbe ukamsome ni Nani Nyerere unasema Mimi siwezi kueleza machache . Machache ya kazi gani wakati ukisoma utapna namna Nyerere alivyonyanuwa mamlaka ya Zanzibar kinyemela na kuidhoofisha Zanzibar. Namna gani alivyokuwa akipinga serikali tatu. Nk Babu yenu Laanatullahi Nyerere alikuwa cobra na mdini anayechukia uislamu hatari
Nani kasema Nyerere alikuwa Mungu?Nyerere hakuwa Mungu na yapo mengi alikuwa anakosea na mengine hakuwa anayajua. Usiwatishe wenye uthubutu wa kufanya tofauti.
Kiufupi hali tulonayo sasa kiuchumi na kimaisha yeye amechangia pakibwa kuzidi kuzorota. Yaani sisi sio wa kuzidiwa kiuchumi na nchi kama Singapore na Malaysia. Nchi ambazo hazina resources zozote.