Ogopa mtu ana maumivu lakini anacheka, mtu atakula pamba muda si mrefu

Tukisema wanadhani tunatania kwa kifupi Najua mambo mengi Mpaka mengine yakiandikwa ni Kama ntawasaidia wahusika kujisanua, kuna mtu mkubwa anakula pamba soon ,
🔜 ogopa mtu anaumia Lakin anacheka


Britanicca
Wewe muongo ulisema Makonda kafa South Africa na Makonda anadunda mpaka leo acha uzushi wako basi mkuu tunakuheshimu unajua?
 
Unatafuta faraja kwa kujiandikia uongo? Ni uzi gani alioandika Makonda amekufa South Africa?
Tafuta JF ni Bahari kubwa yenye kila aina ya taarifa sina haja ya kukutafutia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…