Execute
JF-Expert Member
- Sep 21, 2022
- 3,000
- 7,336
Naomba wanaume msiache kudodosa na kupata uhakika wa jambo hili kwa huyo unayefikiria kumuoa.
Hapa namuongelea yule mwanamke ambaye ilitokea tu akamuona mwanaume halafu akampenda na wakaja kuwa na mahusiano.
Mara nyingi wanaume huwa wanawatumia wanawake wa aina hii maana ni sawa na swala kajileta kwa simba ila anakuwa hana upendo kwake.
Sasa ukioa huyo mwanamke ujue ni suala la muda huyo mwanamke ataendelea kimyakimya na jamaa yake.
Kuna wanawake wa aina hii wanne kwangu ambao nimeona walipoolewa walianza kutaka kujirudisha ndani ya miezi mitatu mpaka sita tangu ndoa.
Uzuri ni kwamba mimi mke wa mtu sitaki mazoea naye. Na ubaya ni kwamba kati ya hawa wanne watatu tayari wameshapeana talaka mahakamani.