Ogopa sana kumuoa mwanamke ambaye amewahi kumpenda mwanaume bila sababu

Ogopa sana kumuoa mwanamke ambaye amewahi kumpenda mwanaume bila sababu

Taarifa ikani fikia mchumba wa mjeshi kanipenda in the first sight mimi ni nani nisile vitamu, sema hawa wake wa wajeshi wana kuaga na taste flan amazing sijui ndo ile akili inakua alert na hatari hatari mda wote [emoji28][emoji28][emoji41]
 
Kiuhalisia unatakiwa umpende mtu, bila sababu. Ukipenda sura yake nzuri, ama umbo lake zuri, siku vikiharibika?
Hao wanaotoka kwenye ndoa, kuwarudia wapenzi wa zamani ni umalaya wao tu...
 
Unahatarisha maisha yako bila sababu, wanawake wapo wengi, tafuta wakwako.
 
Kiuhalisia unatakiwa umpende mtu, bila sababu. Ukipenda sura yake nzuri, ama umbo lake zuri, siku vikiharibika?
Hao wanaotoka kwenye ndoa, kuwarudia wapenzi wa zamani ni umalaya wao tu...
Naunga mkono hoja.
 
Kiuhalisia unatakiwa umpende mtu, bila sababu. Ukipenda sura yake nzuri, ama umbo lake zuri, siku vikiharibika?
Hao wanaotoka kwenye ndoa, kuwarudia wapenzi wa zamani ni umalaya wao tu...
Mwanamke mara nyingi anajifunza kupenda pale mwanaume anapoonesha interest. Na upendo huo wa mwanamke ni halisia na unadumu.

Hapa anaongelewa mwanamke aliyemuona mwanaume ambaye hata hajaonesha interest na pengine hawafahamiani lakini akampenda.
 
Yaah mm ninae mmoja hata aolewe na nan mm swez tumia nguvu kumla yaan nikitendo cha kumuita tu
Huu ni ukweli mchungu kwa wanawake wengi sana waliowahi kuwapenda wanaume bila sababu.
 
Huu ni ukweli mchungu kwa wanawake wengi sana waliowahi kuwapenda wanaume bila sababu.
Ngoja nione mana mwanaume nilienae sasa mimi ndio nilianza kumpenda ingawa hakujua.
 
Ngoja nione mana mwanaume nilienae sasa mimi ndio nilianza kumpenda ingawa hakujua.
Kama hakujua hamna tatizo maana lazima alikukubali na kukupenda kabla hajarusha nyavu.
 
Sababu zipo nyingi tena ndogo ndogo huenda wamependa vidole au kucha zako.
 
Naomba wanaume msiache kudodosa na kupata uhakika wa jambo hili kwa huyo unayefikiria kumuoa.

Hapa namuongelea yule mwanamke ambaye ilitokea tu akamuona mwanaume halafu akampenda na wakaja kuwa na mahusiano.

Mara nyingi wanaume huwa wanawatumia wanawake wa aina hii maana ni sawa na swala kajileta kwa simba ila anakuwa hana upendo kwake.

Sasa ukioa huyo mwanamke ujue ni suala la muda huyo mwanamke ataendelea kimyakimya na jamaa yake.

Kuna wanawake wa aina hii wanne kwangu ambao nimeona walipoolewa walianza kutaka kujirudisha ndani ya miezi mitatu mpaka sita tangu ndoa.

Uzuri ni kwamba mimi mke wa mtu sitaki mazoea naye. Na ubaya ni kwamba kati ya hawa wanne watatu tayari wameshapeana talaka mahakamani.
Vizuri
 
Back
Top Bottom