Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yawezekana walishamuonesha dalili lakin akadhani ni wachunaji au wanataka hela zake kumbe angejiongeza tuu angeishi nao vizuri sana.Wapo sana mkuu labda wewe hujawahi kukutana nao.
Ni kweli Bikra ina maana sana. Hasa kama Mwanamke Alitolewa Bikra na Mwanaume aliempenda sana. Alafu uje ujipachike kienyeji then under ceteris peribus huyo Mwanamke hana hofu ya Mungu na Ndoa yake.. umeishaaaNimepiga msumari kwenye kidonda..
Ukweli mchungu mkuu.
Mi mke wangu alinipendea MACHO na KUCHA za miguuni,,,ndo sababu kubwa ya kumuoaSababu zipo nyingi tena ndogo ndogo huenda wamependa vidole au kucha zako.
InachekeshaNaomba wanaume msiache kudodosa na kupata uhakika wa jambo hili kwa huyo unayefikiria kumuoa.
Hapa namuongelea yule mwanamke ambaye ilitokea tu akamuona mwanaume halafu akampenda na wakaja kuwa na mahusiano.
Mara nyingi wanaume huwa wanawatumia wanawake wa aina hii maana ni sawa na swala kajileta kwa simba ila anakuwa hana upendo kwake.
Sasa ukioa huyo mwanamke ujue ni suala la muda huyo mwanamke ataendelea kimyakimya na jamaa yake.
Kuna wanawake wa aina hii wanne kwangu ambao nimeona walipoolewa walianza kutaka kujirudisha ndani ya miezi mitatu mpaka sita tangu ndoa.
Uzuri ni kwamba mimi mke wa mtu sitaki mazoea naye. Na ubaya ni kwamba kati ya hawa wanne watatu tayari wameshapeana talaka mahakamani.