Ogopa sana mpenzi mwenye mashosti


Extrovert
 
Mkuu polepole sasa hivi kuna mauaji yanaendelea huko mitaan,sijui mfanyakazi wa milembe tena tena pale ndugu zetu wanajiandaa kwenda kaskazi kama kawaida kuna yule sijui alikuwa anauza porkuu na mkewe alikuwa maarufu na wenyewe ndo hivyo tena
Basi pole pole watu hawatanii siku hizi[emoji24][emoji24][emoji24]
 
Hilo ni kweli kabisa mkuu.[emoji4]

Nyongeza ya Hilo,
Sema na wee unazingua mkuu,

Mkeo anarudije saa 11 alfajiri aisee, iyo birthday gani inafanyika usiku kucha?[emoji4]
Mkuu hujui mambo ya warembo hawa wa mjini. Si wanaunganisha na bar wakitoka bethdei au we sio jentromeni mwenzetu?
 
Nyoo...hizi somjo tuu....inavyowaumaga kujua kuwa jamaa kaenda kufuja hela kwa mbususu nyingine mnakuwa wakali. Kinacho waumaga nyie sio kwamba jamaa kala mbususu ila kwamba huyo mrimbwende mwengine kahudumiwa na kupewa mihela
Hahahahhahaha hapa ndio ugomvi ulipo๐Ÿ˜… kwanini umuhonge hela ambazo ulitakiwa unipe mimi๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…???

Hii ndio akili yao wake zenu!
 
Akifanya hivyo basi nitaridhika tu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ mh ila sidhani mimi huyu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚, uwe na asubuhi njema black beauty
Utaridhika na kimoko hafifu namna hio๐Ÿ˜‚ hapo sindio kesi inaanzia mbona hatujanjunju week nzima ila umetoa vitone tu mbona linakuwaga jingi ๐Ÿ˜…
 
Hahahahah wana ile ankwambia ntakupa kesho bebi๐Ÿ˜… ukilazimisha lazma uibuke na shahawa za mwizi wako๐Ÿ˜… huko ndio maana wanagomaga!

Atasingizia hata kichwa kuuma ila wanawake hawa Mungu aturehemu tu. Hujuma zao ni kubwa sana.
 
Duuhh Watu mnauzungu aiseeee, huyo ni Wife ? Au demu tu?

Yaan Wife, akuache wewe au wewe na watoto kisa BETHIDEI ? Na arudi 11??

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi naona point ya mleta mada hapo sio hiyo saa kumi na moja asubuhi, ni hayo marafiki/ mashosti. Kwamba ukiwa unamruhusu mkeo kutoka na hao marafiki na ikatokea wakafika huko mbele wakabadilisha mipango, mke ataliwa tu hata akirudi saa tatu au saa nne. Imagine wametoka saa kumi na mbili home badala ya kwenda kwenye birthday ambayo kimsingi haipo akapelekwa Lion Hotel Sinza then akarudishwa na mashosti zake saa mbili usiku. Akiwa ameshaliwa na wewe utaamini kabisa kwamba walienda kukata keki ya rafiki yao, kula, kunywa na kumwimbia happy birthday to you....kumbe katoka kupigwa mashine kisawasawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ