Wanawake wa sikuhizi hawataki kubanwa banwa kwenye uhusiano! Anatamani awe na uhuru wa kuchopekwa na wahuni ila still awe na title ya mpenzi kwako!😅Mwanamke kurudi alfajiri ni kitu ambacho kama mwanaume siwezi kubaliana nacho. Kuna vitu kama hivi nikiona mwanamke anavyo, ni bora akatafute mwanaume atakayekubaliana navyo, maana kwa upande wangu sitaweza kuvumilia.
Kwa upande mwingine pia tuepukane na kudate au kuoa machangudoa. Wanawake decent wapo wengi tu.
Exactly, we ndio umeielewa dhima ya hii topic kabisa ila watu wamekuwa swayed na muda wa mke kurudi!😅Mimi naona point ya mleta mada hapo sio hiyo saa kumi na moja asubuhi, ni hayo marafiki/ mashosti. Kwamba ukiwa unamruhusu mkeo kutoka na hao marafiki na ikatokea wakafika huko mbele wakabadilisha mipango, mke ataliwa tu hata akirudi saa tatu au saa nne. Imagine wametoka saa kumi na mbili home badala ya kwenda kwenye birthday ambayo kimsingi haipo akapelekwa Lion Hotel Sinza then akarudishwa na mashosti zake saa mbili usiku. Akiwa ameshaliwa na wewe utaamini kabisa kwamba walienda kukata keki ya rafiki yao, kula, kunywa na kumwimbia happy birthday to you....kumbe katoka kupigwa mashine kisawasawa.
Hahahahah anaaga anaenda besdei tu ukimkatalia anamaindi anaanza kusema hujiamini😅! Ukilazimisha muende wote atajidai kule wanaenda na wanawake wenzie tu sasa wewe mwanaume unataka kwenda ili iwaje unaboa. Bora asiende tu!Extrovert Mke hawezi aga anaenda birthday halafu anarudi saa 11 alfajiri halafu mwanaume upo upo tu! Huyu anakua sio mke bali ni mwanaume mwenzako! Akiaga anaenda birthday kuanzia saa tisa mchana hadi saa kumi na mbili jioni,walau kidogo inaweza leta ukweli,japokua pia na penyewe pana taswiswi,huwezi niacha nyumbani na watoto,then unaenda kwenye birthday!
Kitu kingine,hawa wake zetu,kuna jambo akisema unamkazia tu,hata kama anaenda salimia mgonjwa,mwambie apige simu,au muende wote hasa siku hizi za weekend,hua wanaweza ua hata mtu,kisa anaomba ruhusa kwenda kuliwa! Bora sisi,hua tunachepuka wakati wa mida ya Kazi,na jioni narudi home mapema tu,nakula na wanangu,tunalala wote pamoja!
Kutokiwa na shukran tuu. Unakuta mwanaume anatimiza wajibu wake vizuri kabisa, huduma zote nyumbani zinapatikana lakini ukichepuka kiduchu tuu tayari kelele kama mtoto mdogo. Ndoa zenyewe zilivuokuwa za ngama siku hizi, wanatakiwa wawe na moyo wa kuridhikaHahahahhahaha hapa ndio ugomvi ulipo😅 kwanini umuhonge hela ambazo ulitakiwa unipe mimi😅😅😅???
Hii ndio akili yao wake zenu!
Hahahahah wahuni sio watu, eti shemela huwa ndio maana tunakupenda yani mamisosi kama hivi kweli braza anafaidi af hii juisi ya leo tamu sana shemeji...Hatujawazidi wanaume; na tunavyopenda kuitwa "mke wetu/shemela", basi bichwa hilo. Kumbe wenzio wanajua mwenzao anaosha tu rungu kwako
Kuna watu wameoa wakiwa wavulana sio wanaume. Ile dhana ya kuishi nao kwa akili sio wote wana iyo akili.Yani mke wako anarudi saa 11? Na unafungua mlango.
Hahahahahah utaskia we umekosa nini kwangu kutwa kuhangaika tu😅Kutokiwa na shukran tuu. Unakuta mwanaume anatimiza wajibu wake vizuri kabisa, huduma zote nyumbani zinapatikana lakini ukichepuka kiduchu tuu tayari kelele kama mtoto mdogo. Ndoa zenyewe zilivuokuwa za ngama siku hizi, wanatakiwa wawe na moyo wa kuridhika
Suala la Kuliwa, hata kama hana Mashost, analiwa .Mimi naona point ya mleta mada hapo sio hiyo saa kumi na moja asubuhi, ni hayo marafiki/ mashosti. Kwamba ukiwa unamruhusu mkeo kutoka na hao marafiki na ikatokea wakafika huko mbele wakabadilisha mipango, mke ataliwa tu hata akirudi saa tatu au saa nne. Imagine wametoka saa kumi na mbili home badala ya kwenda kwenye birthday ambayo kimsingi haipo akapelekwa Lion Hotel Sinza then akarudishwa na mashosti zake saa mbili usiku. Akiwa ameshaliwa na wewe utaamini kabisa kwamba walienda kukata keki ya rafiki yao, kula, kunywa na kumwimbia happy birthday to you....kumbe katoka kupigwa mashine kisawasawa.
Wee unaongelea warembo wa mjini au mke wa mtu?[emoji848]Mkuu hujui mambo ya warembo hawa wa mjini. Si wanaunganisha na bar wakitoka bethdei au we sio jentromeni mwenzetu?
Ssaa 11 za jioni labda au anamaanisha 11pm (Tano usiku). Kwangu hata Tano usiku hawezi kurudi.Yani mke wako anarudi saa 11? Na unafungua mlango.
Haina noma mwanangu nafurahi kama upo byeeeeNipo mkuu leo nilikuwa tight sana sijagusa huku jf ndo naingia sasa
Sasa kama Mkeo kasoma Olympio kisha Mbezi High. ama Baobab halafu chuo IFM ama UDSM sini mrembo wa town tu?Wee unaongelea warembo wa mjini au mke wa mtu?[emoji848]
Yaan MKE wa mtu atoke birthday usiku kisha aunganishe bar?[emoji848]
Au mi ndo sijakuelewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mahusiano always yanaendeshwa na control ya mwanaume.Wanawake wa sikuhizi hawataki kubanwa banwa kwenye uhusiano! Anatamani awe na uhuru wa kuchopekwa na wahuni ila still awe na title ya mpenzi kwako![emoji28]
Ukimbana bana ataanza kusema hujiamini kabisa[emoji28]
Huyo anaweza kuvumilia shida za dunia,hawezi fanya hivyo,ni walaini tu wanafanya hivyo,😂😂Hebu fanya jitihada za kumtafuta isiwe kashajitundika kukimbia fadhaa za kidunia 😆😆😆
HAkuna mwanamke mpumbafu duniani kama yule anayemnyima muwewe mbususu....wacha mwanaiwane tupigage diversion tuu hamna namna cha msingi hakikisha huduma zote ndani ya nyumba wanazipata.Hahahahahah utaskia we umekosa nini kwangu kutwa kuhangaika tu😅
Ila ikifika mida ya ala za roho haishi hizi kauli..,
”Mie nimechoka bana”...”Ntakupa badae acha kwanza tulale kidogo”...”Kwani ni chakula hiki kwamba ukikosa utakufa”...”Mi sinipo jamani ntakupa asubuhi”
Wanawake zetu hebu mtuache jamani, raha ya mbususu iliwe by suprise😅
Ni kweli mkuu ila sio wanaume wote wana Guts! Ukiweza kujisimamia ukamuonesha mkeo kuwa hata asipokuwepo huathiriki hapo ndipo utapojijengea heshima kubwa!Mahusiano always yanaendeshwa na control ya mwanaume.
Ukiruhusu mwanamke kutake control kwa kuogopa atakufikiriaje utapata shida sana mkuu[emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app