Ogopa sana mpenzi mwenye mashosti

Acha kabisa, halafu wanakuwaga wanaoneana wivu lowkey, ile wanavyokuwa wanahadithiana treatment wanazopata kwa wapenzi wao.
Mwanamke asiye na mashostie wa hivyo ndiye anayedumu kwenye relation bila mikwaruzano.
Eeh wanawake hawapendani mkuu! Yani hapo anawaza ampindue mwenzie
 
Eeh wanawake hawapendani mkuu! Yani hapo anawaza ampindue mwenzie
Ndiyo maana tunaambiwa tuishi nao kwa akili. Mwanamke mwenye akili za kushikiwa hafai, atakuwa akishauriwa ujinga na wanaomuonea wivu ili akiharibu wamcheke. Na hata msimamo anakuwa hana. Laiti kama wanawake wangekuwa wana vifua vya kutunza mambo yao ya ndani, wasingekuwa wanashauriana kutoka usiku na kurudi kwa waume zao alfajiri.

Mwingine unaweza kukuta anashauriwa ujinga na mtu ambaye hata hajaolewa Yeye anajionea sawa tu.
 
Wanawake unatakiwa kuwa nao makini sana na watu wanaokutana nao๐Ÿ˜…
 
Wanawake unatakiwa kuwa nao makini sana na watu wanaokutana nao๐Ÿ˜…
Sure mkuu, kikubwa pia misimamo ya jiwe inahusika, na pia kumjenga ajitegemee kifikra. Kama ana akili mbona atawaacha marafiki wa kishangingi na kutulia na muhuni.
 
That's not a wife. Na akili zako ukaleta hapa unaita wife? Come on man.

Muache kuiga maisha ya kizungu... mtakuja kudondokea chooni kwa kuiga mambo ya ajabu ajabu bila kujua misingi yake.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Utaridhika na kimoko hafifu namna hio๐Ÿ˜‚ hapo sindio kesi inaanzia mbona hatujanjunju week nzima ila umetoa vitone tu mbona linakuwaga jingi ๐Ÿ˜…
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Mngejua nikifikaga sekta hiyo nakuwaga kuku wa mdondo,, hata msingesumbuka hivi
 
Hahahahah nimeamua kuwaasa vijana tu maana janga limekuwa kubwa sana. Huu uhuni wa birthday kugeuzwa sherehe ya michango mpaka kukodisha kumbi ni balaa

๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… kiaina nilifikiri yanakuhusu...
 
Kwani kurudi alfajiri ndiyo tatizo?Je akiliwa akarudi saa tatu usiku ni afadhali?
 
Unakemea uovu kwa kutumia uovu mwingine. Hapa mwanaume mwenzangu umefeli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ