Ogopa sana mpenzi mwenye mashosti

Ogopa sana mpenzi mwenye mashosti

Acha kabisa, halafu wanakuwaga wanaoneana wivu lowkey, ile wanavyokuwa wanahadithiana treatment wanazopata kwa wapenzi wao.
Mwanamke asiye na mashostie wa hivyo ndiye anayedumu kwenye relation bila mikwaruzano.
Eeh wanawake hawapendani mkuu! Yani hapo anawaza ampindue mwenzie
 
Eeh wanawake hawapendani mkuu! Yani hapo anawaza ampindue mwenzie
Ndiyo maana tunaambiwa tuishi nao kwa akili. Mwanamke mwenye akili za kushikiwa hafai, atakuwa akishauriwa ujinga na wanaomuonea wivu ili akiharibu wamcheke. Na hata msimamo anakuwa hana. Laiti kama wanawake wangekuwa wana vifua vya kutunza mambo yao ya ndani, wasingekuwa wanashauriana kutoka usiku na kurudi kwa waume zao alfajiri.

Mwingine unaweza kukuta anashauriwa ujinga na mtu ambaye hata hajaolewa Yeye anajionea sawa tu.
 
Wanawake unatakiwa kuwa nao makini sana na watu wanaokutana nao😅
 
Wanawake unatakiwa kuwa nao makini sana na watu wanaokutana nao😅
Sure mkuu, kikubwa pia misimamo ya jiwe inahusika, na pia kumjenga ajitegemee kifikra. Kama ana akili mbona atawaacha marafiki wa kishangingi na kutulia na muhuni.
 
That's not a wife. Na akili zako ukaleta hapa unaita wife? Come on man.

Muache kuiga maisha ya kizungu... mtakuja kudondokea chooni kwa kuiga mambo ya ajabu ajabu bila kujua misingi yake.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Utaridhika na kimoko hafifu namna hio😂 hapo sindio kesi inaanzia mbona hatujanjunju week nzima ila umetoa vitone tu mbona linakuwaga jingi 😅
😂😂😂Mngejua nikifikaga sekta hiyo nakuwaga kuku wa mdondo,, hata msingesumbuka hivi
 
Hahahahah nimeamua kuwaasa vijana tu maana janga limekuwa kubwa sana. Huu uhuni wa birthday kugeuzwa sherehe ya michango mpaka kukodisha kumbi ni balaa

😅😅😅 kiaina nilifikiri yanakuhusu...
 
Kwani kurudi alfajiri ndiyo tatizo?Je akiliwa akarudi saa tatu usiku ni afadhali?
Mwanamke kurudi alfajiri ni kitu ambacho kama mwanaume siwezi kubaliana nacho. Kuna vitu kama hivi nikiona mwanamke anavyo, ni bora akatafute mwanaume atakayekubaliana navyo, maana kwa upande wangu sitaweza kuvumilia.

Kwa upande mwingine pia tuepukane na kudate au kuoa machangudoa. Wanawake decent wapo wengi tu.
 
Extrovert Mke hawezi aga anaenda birthday halafu anarudi saa 11 alfajiri halafu mwanaume upo upo tu! Huyu anakua sio mke bali ni mwanaume mwenzako! Akiaga anaenda birthday kuanzia saa tisa mchana hadi saa kumi na mbili jioni,walau kidogo inaweza leta ukweli,japokua pia na penyewe pana taswiswi,huwezi niacha nyumbani na watoto,then unaenda kwenye birthday!

Kitu kingine,hawa wake zetu,kuna jambo akisema unamkazia tu,hata kama anaenda salimia mgonjwa,mwambie apige simu,au muende wote hasa siku hizi za weekend,hua wanaweza ua hata mtu,kisa anaomba ruhusa kwenda kuliwa! Bora sisi,hua tunachepuka wakati wa mida ya Kazi,na jioni narudi home mapema tu,nakula na wanangu,tunalala wote pamoja!
Unakemea uovu kwa kutumia uovu mwingine. Hapa mwanaume mwenzangu umefeli
 
Back
Top Bottom