Extrovert Mke hawezi aga anaenda birthday halafu anarudi saa 11 alfajiri halafu mwanaume upo upo tu! Huyu anakua sio mke bali ni mwanaume mwenzako! Akiaga anaenda birthday kuanzia saa tisa mchana hadi saa kumi na mbili jioni,walau kidogo inaweza leta ukweli,japokua pia na penyewe pana taswiswi,huwezi niacha nyumbani na watoto,then unaenda kwenye birthday!
Kitu kingine,hawa wake zetu,kuna jambo akisema unamkazia tu,hata kama anaenda salimia mgonjwa,mwambie apige simu,au muende wote hasa siku hizi za weekend,hua wanaweza ua hata mtu,kisa anaomba ruhusa kwenda kuliwa! Bora sisi,hua tunachepuka wakati wa mida ya Kazi,na jioni narudi home mapema tu,nakula na wanangu,tunalala wote pamoja!