To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
Aisee, ukipata mpenzi au mke au mume ambaye anawasiliana bado na maex tambua hakuna kitu hapo. Ana namba za maex wake wote, anachat nao akikuaminisha eti hakuna kinachoendelea. I swear tegemea mahusiano yenye maumivu sana, ndoa itakuwa haina amani. Heshimu wanaowapenda na kuwajali na kuwatunza pia.
Tuache kuwa na macho mawilimawili, inaondoa heshima kwetu wenyewe. Tutulie basi, Kunusanusa siyo kuzuri na hakuna faida unapata Kwa kuangaika angaika.
NB: Using'ang'ane na kisichokuthamini, itambue thamani yako. Kama haijawa Kwa huyo itakuwa Kwa yule. Pesa zisituvue utu wetu. Kwa mwanamke na mwanaume pia.🙏🙏🙏🙏