Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,637
- 47,413
Wala issue sio maex, issue ni muhusika mwenyewe, maana watu wanamtreat mtu kulingana na anavyojiweka.Aisee,ukipata mpenz au mke au mume ambaye anawasiliana bado na maex tambua hakuna kitu hapo.Ana namba za maex wake wote,anachat nao akikuaminisha eti hakuna kinachoendelea....I swear tegemea mahusiano yenye maumivu sana....ndoa itakuwa haina amani.Heshimu wanaowapenda na kuwajali na kuwatunza pia.
Tuache kuwa na macho mawilimawili....inaondoa heshima kwetu wenyewe.TUTULIE BASI....Kunusanusa siyo kuzuri na hakuna faida unapata Kwa kuangaika angaika.
NB:using'ang'ane na kisichokuthamini.....itambue thaman yako.Kama haijawa Kwa huyo itakuwa Kwa yule.Pesa zisituvue utu wetu......Kwa mwanamke na mwanaume pia.🙏🙏🙏🙏
Mtu umeolewa, ila ukiombwa namba na wanaume wengine ambao hawana cha maana zaidi ya kutaka kukutongoza, unawapa. Akili ipo kweli??
Upo kwenye mahusiano na mwanaume wako ambae yuko serious na we, ila kutwa huishi kugawa namba huko njiani? Akili ipo kweli?