Ogopa sana mtu wa namna hii, tena kimbia!

Aisee,ukipata mpenz au mke au mume ambaye anawasiliana bado na maex tambua hakuna kitu hapo.Ana namba za maex wake wote,anachat nao akikuaminisha eti hakuna kinachoendelea....I swear tegemea mahusiano yenye maumivu sana....ndoa itakuwa haina amani.Heshimu wanaowapenda na kuwajali na kuwatunza pia.

Tuache kuwa na macho mawilimawili....inaondoa heshima kwetu wenyewe.TUTULIE BASI....Kunusanusa siyo kuzuri na hakuna faida unapata Kwa kuangaika angaika.

NB:using'ang'ane na kisichokuthamini.....itambue thaman yako.Kama haijawa Kwa huyo itakuwa Kwa yule.Pesa zisituvue utu wetu......Kwa mwanamke na mwanaume pia.🙏🙏🙏🙏
Mimi Kuna pisi zangu zinawasiliana na maex lakini mm siwezi tukiachana ni vita🤣🤣
 
🤣🤣🤣Amekufanya nn mpaka unamwita ivo binadamu mwenzio mwee
Alikuwa mke wa mwanangu baharia wangu a real gentleman anapigwa miti na yeyote yule muda na siku yoyote ile dadadadeki wangoni sio watu kumbe wana dawa za kimila wanakunywa zinazowafanya wawe nyege za ngono muda wote.

Maisha yake yote hadi anakufa yule ni mbwa
 
Aisee,ukipata mpenz au mke au mume ambaye anawasiliana bado na maex tambua hakuna kitu hapo.Ana namba za maex wake wote,anachat nao akikuaminisha eti hakuna kinachoendelea....I swear tegemea mahusiano yenye maumivu sana....ndoa itakuwa haina amani.Heshimu wanaowapenda na kuwajali na kuwatunza pia.

Tuache kuwa na macho mawilimawili....inaondoa heshima kwetu wenyewe.TUTULIE BASI....Kunusanusa siyo kuzuri na hakuna faida unapata Kwa kuangaika angaika.

NB:using'ang'ane na kisichokuthamini.....itambue thaman yako.Kama haijawa Kwa huyo itakuwa Kwa yule.Pesa zisituvue utu wetu......Kwa mwanamke na mwanaume pia.[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
[emoji120]
 
Aisee,ukipata mpenz au mke au mume ambaye anawasiliana bado na maex tambua hakuna kitu hapo.Ana namba za maex wake wote,anachat nao akikuaminisha eti hakuna kinachoendelea....I swear tegemea mahusiano yenye maumivu sana....ndoa itakuwa haina amani
📌📌📌
 
Njoo umuone Ex nyumba inabomolewa🤣🤣🤣
Mie niseme ukweli namba ya ex nnayo, nikikwama ananisupport....who knows tomorrow? 🤸🏿‍♀️
🤣🤣🤣🤣Mimu hapana yaani
 
Mi uzuri wote wameolewa na wote wanawasiliana na Mimi sinaga baya Mimi.
 
Aisee,ukipata mpenz au mke au mume ambaye anawasiliana bado na maex tambua hakuna kitu hapo.Ana namba za maex wake wote,anachat nao akikuaminisha eti hakuna kinachoendelea....I swear tegemea mahusiano yenye maumivu sana....ndoa itakuwa haina amani.Heshimu wanaowapenda na kuwajali na kuwatunza pia.

Tuache kuwa na macho mawilimawili....inaondoa heshima kwetu wenyewe.TUTULIE BASI....Kunusanusa siyo kuzuri na hakuna faida unapata Kwa kuangaika angaika.

NB:using'ang'ane na kisichokuthamini.....itambue thaman yako.Kama haijawa Kwa huyo itakuwa Kwa yule.Pesa zisituvue utu wetu......Kwa mwanamke na mwanaume pia.[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Njooni, kuna mtu kashalizwa huku
 
Alikuwa mke wa mwanangu baharia wangu a real gentleman anapigwa miti na yeyote yule muda na siku yoyote ile dadadadeki wangoni sio watu kumbe wana dawa za kimila wanakunywa zinazowafanya wawe nyege za ngono muda wote.

Maisha yake yote hadi anakufa yule ni mbwa
Aisee,huzuni
 
Back
Top Bottom