Ogopa sana mtu wa namna hii, tena kimbia!

Ogopa sana mtu wa namna hii, tena kimbia!

wengine sio kwa wema....

kuna watu wanaweka visasi hata miaka 5... Sasa wewe jichanganye uteseke mbeleni

enjoy mahusiano current ili hata mkiachana iwe jumla, hudumia, hudumiwa, tokeni pamoja, zawadi zihusike, pia muwe na joint plans.... Mfano joint plan ni kila mmoja afikishe angalau 10milion hapo mkiachana unaakiba bank it's a win situation no matter what.
 
Kuwa mnyenyekevu, utaachwa buree! Hakuna mtu asiye na mapungufu. Ongea nae kwa upendo mkitoka OUT mueleze ni kwa kiasi gani anakuumiza kwa kufanya hivo. Na muulize changamoto ni nini hadi anaendelea kuwasiliana nao
 
pia unaangalia na ex gani unawasiliana nae...

Mimi X wangu mmoja hivi alietaka kuniunguza na Ngoma nawasiliana nae sana sababu kwanza mdada anacash yake, pili up stairs yupo vizuri , tatu alinisaidia kupata kazi kwenye office ya Baba ake Mimi na mdogo wangu.
 
Kuwa mnyenyekevu, utaachwa buree! Hakuna mtu asiye na mapungufu. Ongea nae kwa upendo mkitoka OUT mueleze ni kwa kiasi gani anakuumiza kwa kufanya hivo. Na muulize changamoto ni nini hadi anaendelea kuwasiliana nao
Nitaachwa namwacha...? anawasiliana na maex nisubiri kuachana😳 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom