Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ndio ulikimbilia kwa baby care ๐ ๐mzee utapotea tena kama dk 13 hivi kama siku ile
Huzuni sana amebaki anaoza kwa mawazo na kuliwa na watu tofauti tofauti daily wengine washikaji zetu wanapita na shemeji yao.Aisee,huzuni
Heee!!! vipi tena kaka mkubwa, mbona hizi hasira zimevuka viwango vya TBS!!Imfikie mbwa yule shemeji yangu mbwa zaidi ya mbwa na ni mbwa hadi kufa kwake ana nenepea vidonge vya uzazi kichwani ana kinda sana mbwa yule
sikukimbia nilikua naruka nayo in real timeWw ndio ulikimbilia kwa baby care ๐ ๐
Hii kauli ya kilegend sana wewe unakula Kwa kamba ukichoka unasepaMimi Kuna pisi zangu zinawasiliana na maex lakini mm siwezi tukiachana ni vita๐คฃ๐คฃ
ndio To yeye tatizo nyapu zinawawasha mpaka mnawakumbuka maX๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃEti nyapu๐๐๐
To yeye nakupenda kimasiharaโคAisee,ukipata mpenz au mke au mume ambaye anawasiliana bado na maex tambua hakuna kitu hapo.Ana namba za maex wake wote,anachat nao akikuaminisha eti hakuna kinachoendelea....I swear tegemea mahusiano yenye maumivu sana....ndoa itakuwa haina amani.Heshimu wanaowapenda na kuwajali na kuwatunza pia.
Tuache kuwa na macho mawilimawili....inaondoa heshima kwetu wenyewe.TUTULIE BASI....Kunusanusa siyo kuzuri na hakuna faida unapata Kwa kuangaika angaika.
NB:using'ang'ane na kisichokuthamini.....itambue thaman yako.Kama haijawa Kwa huyo itakuwa Kwa yule.Pesa zisituvue utu wetu......Kwa mwanamke na mwanaume pia.๐๐๐๐