Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naelewa mkuu 😂😂changamka mtoto amefunzwa huyo najua unaogopa kugongewa To yeye hana mazoea na maX
napitia hii hahaha sema uzuri ex na current ni mtu na best ake...so my queen huwa anasema step zote anajua maana ex hatambui kitu..Mahusiano. Ya kukumbuka ex wako sio fresh maana unamrubuni wasasa na hutojua yupi unamtaka hapo ndio shida eti
Usijali mimi maX nimewapiga X naahidi sitokukwaza.Aisee,ukipata mpenz au mke au mume ambaye anawasiliana bado na maex tambua hakuna kitu hapo.Ana namba za maex wake wote,anachat nao akikuaminisha eti hakuna kinachoendelea....I swear tegemea mahusiano yenye maumivu sana....ndoa itakuwa haina amani.Heshimu wanaowapenda na kuwajali na kuwatunza pia.
Tuache kuwa na macho mawilimawili....inaondoa heshima kwetu wenyewe.TUTULIE BASI....Kunusanusa siyo kuzuri na hakuna faida unapata Kwa kuangaika angaika.
NB:using'ang'ane na kisichokuthamini.....itambue thaman yako.Kama haijawa Kwa huyo itakuwa Kwa yule.Pesa zisituvue utu wetu......Kwa mwanamke na mwanaume pia.🙏🙏🙏🙏
Vizuripia unaangalia na ex gani unawasiliana nae...
Mimi X wangu mmoja hivi alietaka kuniunguza na Ngoma nawasiliana nae sana sababu kwanza mdada anacash yake, pili up stairs yupo vizuri , tatu alinisaidia kupata kazi kwenye office ya Baba ake Mimi na mdogo wangu.
🙄Mahusiano. Ya kukumbuka ex wako sio fresh maana unamrubuni wasasa na hutojua yupi unamtaka hapo ndio shida eti
Ukishalijua hili wala hupati shidaOnce a cheater always a Cheater
🤣🤣🤣🤣 Oo kumbewengine sio kwa wema....
kuna watu wanaweka visasi hata miaka 5... Sasa wewe jichanganye uteseke mbeleni
enjoy mahusiano current ili hata mkiachana iwe jumla, hudumia, hudumiwa, tokeni pamoja, zawadi zihusike, pia muwe na joint plans.... Mfano joint plan ni kila mmoja afikishe angalau 10milion hapo mkiachana unaakiba bank it's a win situation no matter what.
Ndio Wala hajui arudi huko au akae nawewe matokeo yake anakupotezea muda ila wanaume ni shida sana,wanawanawake wengi halafu akiwa kwako ana😝wapa majina feki sijui x,voda,Airtel kumbe uongooUnabaki unaangaikaangaika.kutulia ni kitu muhimu sana
ila sio kupasha viporo kama ex yupo vizuri na unaona anaweza kuwa msaada kwako na akili yake ipo vizuri.... Usimpoteze.Vizuri
Acha tu ni shida tupu nakupa Siri hii ukiwa na memzi mfiche hata nzi hajui utaenjoy sana,maana ukionyesha ataibiwa na mashoga zako seriously🤣🤣🤣🤣Hatari tupu
eee mtengeneze best moments za kutosha ila pia individual muwe mnapushiana kufikia malengo flani....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Oo kumbe
Yeah,sahihieee mtengeneze best moments za kutosha ila pia individual muwe mnapushiana kufikia malengo flani....
Mfano wewe anakupush unakuja pata kazi bandarini unaolewa na mwingine alafu yeye unampush anakuja pata kazi Tra anaoa hapo fresh tu hata chuki hautakuwa nayo...
Wengi tunachuki na ma Ex sababu tumefeli mishe nyingi za maisha sababu yao