Ogopa sana mtu wa namna hii, tena kimbia!

Ndio Wala hajui arudi huko au akae nawewe matokeo yake anakupotezea muda ila wanaume ni shida sana,wanawanawake wengi halafu akiwa kwako ana[emoji13]wapa majina feki sijui x,voda,Airtel kumbe uongoo
Nipo kwenye hii hali nacheka sana unachoandika.
 
mwanamke wangu ni BabyCare ambaye ndiye namtamani muda wote
haniombi hela
hanipi Gono wala UTI
Sijakubishia, nakupa tu angalizo uwe na uhakika kwa maisha yako yote hutosex na mwanamke, maana kama utakuja kutamani mwanamke utapata aibu kubwa na itakupa msongo wa mawazo, utaanza kupigwa pesa na kina Dr Mwaka utapigwa pesa kila kina ili kuzitafuta nguvu za kiume ambazo ulizimaliza mwenyewe kwa makusudi au kutokujuwa.
 
Sijakubishia, nakupa tu angalizo uwe na uhakika kwa maisha yako yote hutosex na mwanamke, maana kama utakuja kutamani mwanamke utapata aibu kubwa na itakupa msingi wa mawazo, utaanza kupigwa pesa na kina Dr Mwaka utapigwa pesa kila kina ili kuzitafuta nguvu za kiume ambazo ulizimaliza mwenyewe kwa makusudi au kutokujuwa.
aibu ya nini ilihali pesa natoa mimi ?
 
Sijakubishia, nakupa tu angalizo uwe na uhakika kwa maisha yako yote hutosex na mwanamke, maana kama utakuja kutamani mwanamke utapata aibu kubwa na itakupa msongo wa mawazo, utaanza kupigwa pesa na kina Dr Mwaka utapigwa pesa kila kina ili kuzitafuta nguvu za kiume ambazo ulizimaliza mwenyewe kwa makusudi au kutokujuwa.
Msingi wa mawazo upoje huo 😴😵 🤔🤔
 
Mchane mchane mkuu
 
Haya mambo haya yasikie tu kwa wenzio,usiombe iwe kwako, ni yanaumiza balaa.
Binafsi nimekuelewa sana na nakupa pole sana.
Cha msingi ni kumwomba Mungu akupitishe salama na akupatie aliye sahihi kwako.
 
Back
Top Bottom