Ogopa sana mtu wa namna hii, tena kimbia!

To yeye

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2022
Posts
35,686
Reaction score
86,968
Aisee, ukipata mpenzi au mke au mume ambaye anawasiliana bado na maex tambua hakuna kitu hapo. Ana namba za maex wake wote, anachat nao akikuaminisha eti hakuna kinachoendelea. I swear tegemea mahusiano yenye maumivu sana, ndoa itakuwa haina amani. Heshimu wanaowapenda na kuwajali na kuwatunza pia.

Tuache kuwa na macho mawilimawili, inaondoa heshima kwetu wenyewe. Tutulie basi, Kunusanusa siyo kuzuri na hakuna faida unapata Kwa kuangaika angaika.

NB: Using'ang'ane na kisichokuthamini, itambue thamani yako. Kama haijawa Kwa huyo itakuwa Kwa yule. Pesa zisituvue utu wetu. Kwa mwanamke na mwanaume pia.🙏🙏🙏🙏
 
Pole dada
 
Imfikie mbwa yule shemeji yangu mbwa zaidi ya mbwa na ni mbwa hadi kufa kwake ana nenepea vidonge vya uzazi kichwani ana kinda sana mbwa yule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…