Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Kaibiwa๐ญ๐ญ๐ฐ na lidada likubwa๐ก anahela ndefu akashindwa kutumanage akakabwa huko huko sijui alipooWewe ulijitangaza ni Mali ya Carasco Putin. Ntasubiria mkiachana ndio nikuchukue ๐
Bangi sio mlenda aisee kichwa kina moto hiki ๐ณ๐คฏ๐๐ ๐ ๐ ๐ mkuu niaje leo?
So fucking truebibie kanikosha sana aisee, that foreplay worth couple of several C-notes in cash
Huogopi na Mimi nitaibiwa na lidada likubwa? Maana Mimi na mashangazi dam dam ๐ ๐Kaibiwa๐ญ๐ญ๐ฐ na lidada likubwa๐ก anahela ndefu akashindwa kutumanage akakabwa huko huko sijui alipoo
Tuombe uzima nakuona unachart na mmoja utapigwaHuogopi na Mimi nitaibiwa na lidada likubwa? Maana Mimi na mashangazi dam dam ๐ ๐
Hatari sana ๐Bangi sio mlenda aisee kichwa kina moto hiki ๐ณ๐คฏ๐
natamani kumtag mtuAisee, ukipata mpenzi au mke au mume ambaye anawasiliana bado na maex tambua hakuna kitu hapo. Ana namba za maex wake wote, anachat nao akikuaminisha eti hakuna kinachoendelea. I swear tegemea mahusiano yenye maumivu sana, ndoa itakuwa haina amani. Heshimu wanaowapenda na kuwajali na kuwatunza pia.
Tuache kuwa na macho mawilimawili, inaondoa heshima kwetu wenyewe. Tutulie basi, Kunusanusa siyo kuzuri na hakuna faida unapata Kwa kuangaika angaika.
NB: Using'ang'ane na kisichokuthamini, itambue thamani yako. Kama haijawa Kwa huyo itakuwa Kwa yule. Pesa zisituvue utu wetu. Kwa mwanamke na mwanaume pia.๐๐๐๐
Ni mke wangu huyu mbona ๐๐๐คUkorofi huo,unatag watu
Nipigwe na nani? ๐ ๐ ๐Tuombe uzima nakuona unachart na mmoja utapigwa
Haraka hivyooNipigwe na nani? ๐ ๐ ๐
Me nachat na we tu hapa. Alaf leo ntakuwa mgeni wako ๐
Nakitu ya huyu mudada KelseaNipigwe na nani? ๐ ๐ ๐
Me nachat na we tu hapa. Alaf leo ntakuwa mgeni wako ๐
Hutaki mgeni?Haraka hivyoo