Ogopa sana mtu wa namna hii, tena kimbia!

Hivi hiyo pict inauhusiano wowote nawewe ,??
Hapana. Kabla sijaingia jamiiforums, kuna mtu nilikuwa napenda michango yake kwenye majukwaa, picha aliyokuwa ameweka, ni picha ya Ben Carson, huyo unaemuona kwenye profile yangu. So, na mm nilichagua kutumia picha ya huyo Mzee
 
Aisee, ukipata mpenzi au mke au mume ambaye anawasiliana bado na maex tambua hakuna kitu hapo. Ana namba za maex wake wote, anachat nao akikuaminisha eti hakuna kinachoendelea. I swear tegemea mahusiano yenye maumivu sana, ndoa itakuwa haina amani. Heshimu wanaowapenda na kuwajali na kuwatunza pia.

Tuache kuwa na macho mawilimawili, inaondoa heshima kwetu wenyewe. Tutulie basi, Kunusanusa siyo kuzuri na hakuna faida unapata Kwa kuangaika angaika.

NB: Using'ang'ane na kisichokuthamini, itambue thamani yako. Kama haijawa Kwa huyo itakuwa Kwa yule. Pesa zisituvue utu wetu. Kwa mwanamke na mwanaume pia.🙏🙏🙏🙏

Bonge moja la point wabheja sana!!
 
Bonge moja la point wabheja sana!!
Upendo haugawanyika kamwe....ukigawanywa tambua hakuna kitu hapo....afu sikuzote dalili ya mvua ni mawingu...?ukiona mambo mengi ni ya kuvumilia ukiingia kwenye ndoa utalia na kusaga meno
 
Kabisa mtu wa hivo ni wa kumuogopa kama ukoma janja janja lazima ziwe nyingi!!
Pesa inaleta jeuriii pesa inaleta dharau na heshima pia!!
Ukute huyo Mwenye pesa ndio hamnazo sasa hakuna rangi utaacha ona!
Ifike mahala tujikubali tu na umasikini wetu potelea pote! kwani mwanzo haukuishi?? Tupa kuleeeee 🚮🚮🚮🚮
 
Kabisa mtu wa hivo ni wa kumuogopa kama ukoma!!
Pesa inaleta jeuriii pesa inaleta dharau na heshima pia!!
Ukute huyo Mwenye pesa ndio hamnazo sasa hakuna rangi utaacha ona!
Ifike mahala tujikubali tu na umasikini wetu potelea pote!
Hakika Nimefika tamati cute 🙌🙌🙌🙌.....my🦶
 
Aisee, ukipata mpenzi au mke au mume ambaye anawasiliana bado na maex tambua hakuna kitu hapo. Ana namba za maex wake wote, anachat nao akikuaminisha eti hakuna kinachoendelea. I swear tegemea mahusiano yenye maumivu sana, ndoa itakuwa haina amani. Heshimu wanaowapenda na kuwajali na kuwatunza pia.

Tuache kuwa na macho mawilimawili, inaondoa heshima kwetu wenyewe. Tutulie basi, Kunusanusa siyo kuzuri na hakuna faida unapata Kwa kuangaika angaika.

NB: Using'ang'ane na kisichokuthamini, itambue thamani yako. Kama haijawa Kwa huyo itakuwa Kwa yule. Pesa zisituvue utu wetu. Kwa mwanamke na mwanaume pia.🙏🙏🙏🙏
Vipi dada angu tena.. Kuna shida na shemeji?
 
Shida nakurupuka mno to trust someone
Yeah kuna muda unamuamini sana mtu ila binafsi nikiona unaonesha kuvunja uaminifu wangu kwako alooo huwa sijareee wala nini hata uwe unanihonga vitu gani 🚮🚮🚮🚮🚮! Sipendagi dharau za rejareja kabisa!
 
Back
Top Bottom