Ogopa sana mtu wa namna hii, tena kimbia!

Yeah kuna muda unamuamini sana mtu ila binafsi nikiona unaonesha kuvunja uaminifu wangu kwako alooo huwa sijareee wala nini hata uwe unanihonga vitu gani 🚮🚮🚮🚮🚮! Sipendagi dharau za rejareja kabisa!
🤣🤣🤣🤣🤸🤸
 
Time always heals... Tusiache kumpa moyo rafiki yetu maana haya mambo ya kutendwa yanauma sana especially by the person you truly trust.
Kweli Kabisa Namuelewa sana Uzuri Time is the best answer!!!
Mungu amtie nguvu arelaxx atulize akili ayasahau na kupata tulizo la moyo lililo bora zaidi!!
 
Ila hajasema sasa kama ameamua kubreak up nae au bado wanalala under the same roof. Maana hapo Kuna faraja za aina mbili nazo zinategemea na matokeo baada ya kugundua kuwa jamaa bado yupo busy na ma ex's wake.
To yeye tuambie sasa, mmebreak up au bado mpo pamoja? Ushauri sahihi itategemea na jibu lako
 
Ninaamini majibu tayari anayo!!
 
Ila hajasema sasa kama ameamua kubreak up nae au bado wanalala under the same roof. Maana hapo Kuna faraja za aina mbili nazo zinategemea na matokeo baada ya kugundua kuwa jamaa bado yupo busy na ma ex's wake.
To yeye tuambie sasa, mmebreak up au bado mpo pamoja? Ushauri sahihi itategemea na jibu lako
Mpaka najuta kwanini nilikukataa 😭 ila bado siwez kukubali😭😭😭 ...jaman mweee
 
Haha sijui hukuvutiwa nami wakati vigezo vyote ninavyo dah😄
Mapenzi haulazimishwi, bali tunaangalia hitaji la moyo at that particular time. Usijari kila jambo lina muda wake and everything happens for a reason To yeye
 
Mpaka najuta kwanini nilikukataa 😭 ila bado siwez kukubali😭😭😭 ...jaman mweee
Usitumie hali iliyotokea kunikubali, chunguza moyo wako na fanya maamuzi sahihi. Bado una nafasi ya kuwa na furaha katika maisha yako na mwanao.
 
🤣🤣🤣🤣Na ndo maisha yenyewe.pole mkuu
Nipo msibani hapa Soweto, tumejitenga kidogo kwenye ki grocery hapa tunazalisha joto la miili kushindana na hii hali ya hewa jioni hii.😊
 
Back
Top Bottom