Ogopa sana mtu wa namna hii, tena kimbia!

Haha mwambie ukweli bhana, bukheri wa afya wakati psychologically you're being tortured my dear?
Come over here to kill that stress together with me, in your ups and downs I'll always be with you.
Mi siumwi jaman...Hilo Kilikuwa pito tu

Unataka nije msibani tuache kuhuzunika hapo tuanze kulana mate🙄
 
Haha leo huzuni yetu ni ya aina moja tu, nadhani unaijua. Mate ina siku yake....
 
Aisee, ukipata mpenzi au mke au mume ambaye anawasiliana bado na maex tambua hakuna kitu hapo. Ana namba za maex wake wote, anachat nao akikuaminisha eti hakuna kinachoendelea. I swear tegemea mahusiano yenye maumivu sana, ndoa itakuwa haina amani. Heshimu wanaowapenda na kuwajali na kuwatunza pia.

Tuache kuwa na macho mawilimawili, inaondoa heshima kwetu wenyewe. Tutulie basi, Kunusanusa siyo kuzuri na hakuna faida unapata Kwa kuangaika angaika.

NB: Using'ang'ane na kisichokuthamini, itambue thamani yako. Kama haijawa Kwa huyo itakuwa Kwa yule. Pesa zisituvue utu wetu. Kwa mwanamke na mwanaume pia.🙏🙏🙏🙏
Kuna Mwamba kashatuwakilisha vyema huku

Back
Top Bottom