Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OkI like you too
Mi siumwi jaman...Hilo Kilikuwa pito tuHaha mwambie ukweli bhana, bukheri wa afya wakati psychologically you're being tortured my dear?
Come over here to kill that stress together with me, in your ups and downs I'll always be with you.
[emoji1787]Hebu nenda kapime, uniletee mrejesho. Kama vipi nianze kuandaa hela ya pampas[emoji28][emoji28][emoji28]
😎
Wapi www 😘😘😘😘Bangi zinataka lishe, sio chai ya rangi kwa andazi.
Haha leo huzuni yetu ni ya aina moja tu, nadhani unaijua. Mate ina siku yake....Mi siumwi jaman...Hilo Kilikuwa pito tu
Unataka nije msibani tuache kuhuzunika hapo tuanze kulana mate🙄
Nafurahi kusikia kuwa umepowa na sasa upo ok. Kuna manyunyu huku nilipo, karibu kufukuza baridi😊Daaa,nimepoa poa lakini
Sasa wewe Uyole mpaka hapa nilipo ni mbali kweli? Hauna nia wewe😄😄🙌Uyole pia,vivyohivyo
Kuna Mwamba kashatuwakilisha vyema hukuAisee, ukipata mpenzi au mke au mume ambaye anawasiliana bado na maex tambua hakuna kitu hapo. Ana namba za maex wake wote, anachat nao akikuaminisha eti hakuna kinachoendelea. I swear tegemea mahusiano yenye maumivu sana, ndoa itakuwa haina amani. Heshimu wanaowapenda na kuwajali na kuwatunza pia.
Tuache kuwa na macho mawilimawili, inaondoa heshima kwetu wenyewe. Tutulie basi, Kunusanusa siyo kuzuri na hakuna faida unapata Kwa kuangaika angaika.
NB: Using'ang'ane na kisichokuthamini, itambue thamani yako. Kama haijawa Kwa huyo itakuwa Kwa yule. Pesa zisituvue utu wetu. Kwa mwanamke na mwanaume pia.🙏🙏🙏🙏
Aisee, ukipata mpenzi au mke au mume ambaye anawasiliana bado na maex tambua hakuna kitu hapo. Ana namba za maex wake wote, anachat nao akikuaminisha eti hakuna kinachoendelea. I swear tegemea mahusiano yenye maumivu sana, ndoa itakuwa haina amani. Heshimu wanaowapenda na kuwajali na kuwatunza pia.
Tuache kuwa na macho mawilimawili, inaondoa heshima kwetu wenyewe. Tutulie basi, Kunusanusa siyo kuzuri na hakuna faida unapata Kwa kuangaika angaika.
NB: Using'ang'ane na kisichokuthamini, itambue thamani yako. Kama haijawa Kwa huyo itakuwa Kwa yule. Pesa zisituvue utu wetu. Kwa mwanamke na mwanaume pia.🙏🙏🙏🙏
Haya pumzika kwa amani💋Nimejilaza tu mi hapa.....
Good night thenUsiku saivi
One Lady DownYeah,nadhan