Ogopa sana mtu wa namna hii, tena kimbia!

Kuna siku uliandika jambo hapa nikatamani niseme neno lkn sikuwa member,nilikuwa mpenzi msomaji tu. Nikili kuwa ule ujumbe wako ni miongoni mwa jumbe nyingi zilizo nivuta kuwa member.

Nashukuru hauko tayari kuitupilia mbali imani yangu kwako. Hongera!
 
Barikiwa sana mkuu...karibu tena na tena
 
Acha bwana, mie uwa namchukia mwanaume anayemtukana mwanamke bwashee,

Ulithaminiwa na kuheshimiwa ukapewa kazi, je ulitekeleza kazi yako kwa ufanisi ilivokuwa inatakiwa?
soma ujume vizuri uelewe na video zipo unataka pm au
 
Achati nao tu na mie najitaftia ma x wangu tunajichatia tu,bila bila.
 
Siyo kweli na pia hutegemea na msimamo wa mtu husika aliyeamua kuwa committed.

Few can handle that situation but many can not
 
Niko 100% loyal kwa BabyCare

Nakupenda bidhaa ya Mamujee [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nachekaa km chiziiii hapa khaaaaah.
 
Akiwasiliana nao haina shda maana kama we hukuanza nae kule chin hakuna unachokwepa ni kawaida yake kama unaogopa kupgiwa na ex wake bas usiogope sana maana hata kwenye mazingra mnayoish wenda kuna mtu anakupgia tofauti na ex wake we shkuru tu akitoka anarud akiwa mzima bas mengne yaache
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…