Ogopa Teknolojia: Nimeweka mkataba wa bandari kwenye Chat-GPT, Imejibu kwamba bandari zitakuwa za DP World Milele!

Tobaaaaah wee,
Tumekwishaaaaa!!! [emoji24][emoji24][emoji24]
Hadi akili bandia zimeona kuna tatizo ninyi wenye akili natural mnaona kila kitu kiko sawa! Maajabu!
 
Haji Manara anasema mnatoma machokoroni huko mnakuja kuiongolea bahati ambayo hamjuwi hata nani aliianzisha.


Muulizeni Huyo AI ChatGPT, nani aliianzisha bandari ya Dar es Salaam.
 
Sasankama hawa Waarabu Waislam wana tatizo vipi Mwenye kiti wa chadema akawekeze Dubai?

Mbona mnatuchanganya?
CCM ndio tatizo pamoja na machawa wake including wewe! Mwarabu hana tatizo, hata kama ni mimi naona kbs napewa uwekezaji sawa na bure tena bila kikomo kwann nisiwekeze!!
 
Milele ndio Nini wakat hata wao wanajua tawala za kiafrika zinabadilika
 
DP WORLD imekataa kupoa kama ugali!!
 
Mentality ya hovyo kbs hii!! Kwahiyo alieanzisha ndo kusema?
Hutaki kuijuwa historià?

Usiogope, babu zàko walipitishiwa bandari za Kilwa na Bagamoyo walipochukuliwa utumwani. Bandari ya Dar es Salaam likuwa ya Wasomi tu, waliokuwa wanakuja chuo kikuu cha kwanza kabisa kikubwa Afrika mashariki pale ambapo sasa panaiwa Ikulu.

Unajuwa kuwa IkuIu ilikuwa ni chuo cha hii miisiramu?
 
Duh

Ova
 
Duh,basi hatari sana

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…