Ogopa Teknolojia: Nimeweka mkataba wa bandari kwenye Chat-GPT, Imejibu kwamba bandari zitakuwa za DP World Milele!

Kaa hapo na fikra zako uone kama bandari itakusaidia kulipa bill
Shindwa Pepopunda!!
 
Kuna mambo ukifatilia sana utaendesha maisha yako kwa hofu sana na
 
Milele ndio Nini wakat hata wao wanajua tawala za kiafrika zinabadilika
Mihemko tu. Anaweza kuja raisi mwingine na vipaumbele vingine kabisa kuhusu bandari.

Binafsi siamini vipengele vya huu mkataba ila kwa hii mihemko inawezekana pia kuna watu wamenyang'anywa maslahi ya upigaji na DP world.

All in all kinachonipa matumaini ni kuwa bandari ipo kwetu, ni suala la kiongozi shupavu tu kuwaongoza watanzania kumuondoa mwarabu iwapo hakuna manufaa ya uwepo wake. Aliondoka mkoloni ije ishindikane mwekezaji mnyonyaji?
 
Majibu ni kwa vitendo tu, maongezi bungeni na humu mitandaoni.

Kazi iendekee.
Namaanisha hoja juu ya vipengele vyenye mashaka zijibiwe, au mwenzetu umejaza kinyesi kichwani? Akili umetupa chini sababu ya dini?
 
Aise jamaa wako serious

Ova
Duai, kwa waliofika watakueleza, hata ukienda shopping, ukiuliza bei wakishakupa bei wansikiliza wateja wengine, hawana muda w kupoteza.

Mkataba unasema kazi zinaanza makubaliano yakisainiwa tu, siku ile ile wameanza kujipanga.

Wale ni wafanyabiashara, wanaelewa maana ya time is money, hawana muda wa ngonjera.
 
Na wewe nae, kumbe unasikia tu? Una msikio makubwa mabasi. Funguwa na ubongo wako na machoyako.

Mkataba wa kuuzwa nchi upo tayari. Hivi hebu jitazame vizuri hapo ulipo, hujahamishiw aDubai wewe?
kuna kitu kimekusibu huu uandishi sio wako
 
Namaanisha hoja juu ya vipengele vyenye mashaka zijibiwe, au mwenzetu umejaza kinyesi kichwani? Akili umetupa chini sababu ya dini?
Nyie ongeeni uharo, kinyesi, makamasi, mlikatazwa?

DP World maongezi yao ni kuchapa kazi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…