Oktoba 29 imetuonyesha namna Uraia pacha unavyohitaji mjadala zaidi

Kuna watanzania wenzetu wakifanikiwa kwenda kuishi ulaya na marekani wanajifanya kuusahau utanzania wao. Wanawaona watanzania walioko Tanzania kama washamba, wajinga, wasiojua kutukana na kubeza viongozi kama wazungu wanavyofanya. Ghafla wanatamani Tanzania iwe na utamaduni, siasa na uhuru kama wa wazungu.

Baadhi ya diaspora wanawachochea vijana watukane, wachome, waharibu na kupindua serikali. Wanafadhili vurugu na uvunjifu wa amani na utulivu nchini.

Wanawapa matumaini hewa kuwa ulaya na marekani hakuna shida na kero hata moja, ni amani tu, asali, tende na maziwa.

Sijawasikia diaspora wakilaani vurugu za oct29.

Je, Tanzania tunahitaji uraia pacha?
Vipi chawa muhamalA umesoma bei gani? Au umekopwa kama mwenzio mwaipopo?
 
DIaspora walichangia pesa za kulipia uhalifu, kuichafua nchi kwenye vyombo vya habari vya Magharibi na kwenye jumuiya za kimataifa. They had access to them.

Walichangia kiasi gani?

Walichanga kwa mfumo upi?

Walimchangia nani?

Tunaomba ushahidi wa waliochanga walau watatu tu.
 
Wamefanya vikao vingi clubhouse nk

Club House ndio palifanyika maandamano?

Mbona club house sauti ya watanzania tunao diaspora ambao ni waccm nao waliongea ina maana maandamano yalikua hayana chama maana sio CHADEMA au CCM walikua wanaongelea maandamano.
 
Walichokipata kilikuwa ni mfano kwa wengine
hivi yule malaya dangwa yuko wapi siku hizi ?
 
Nani hajui kuwa ushoga, kutunza vizee, kuchuma matikiti, kuchunga ng'ombe na nguruwe, kuzibua mitaro na kubeba mizigo kwenye stores ndizo kazi kuu za diaspora wengi? Hakuna mtu huku anawaonea gere watu(manamba/cheap labors) wanaowapangusa wanaoogesha vizee vya kizungu.

Tunachosema kuleni mema yenu huko achaneni na sisi.
Mkuu wenu wa PR ameoza kweli sasaivi ni mweupe kiasi hiki astraghafullah , mkiwa kikaoni au Whatsapp group zenu mwambieni Zama zimebadilika sasaivi watu wengi nchi hii wako smart kichwanii.
 
Vipi chawa muhamalA umesoma bei gani? Au umekopwa kama mwenzio mwaipopo?
Diaspora walifanya kila wawezalo nchi kutengwa kimataifa. Walikuwa wanajua kuwa taarifa zao zilikuwa zinakimbiza watalii na wawekezaji kuja lakini hawakulijali hilo. Tunajua kuwa wapo diaspora wazalendo kabisa na royal kwa nchi yao, tatizo ni namna ya kuwatambua na kuwatenga hao wazuri kutoka wale machizi wasioirakia mema nchi yao.
 
Kuna watanzania wenzetu wakifanikiwa kwenda kuishi ulaya na marekani wanajifanya kuusahau utanzania wao. Wanawaona watanzania walioko Tanzania kama washamba, wajinga, wasiojua kutukana na kubeza viongozi kama wazungu wanavyofanya. Ghafla wanatamani Tanzania iwe na utamaduni, siasa na uhuru kama wa wazungu.

Baadhi ya diaspora wanawachochea vijana watukane, wachome, waharibu na kupindua serikali. Wanafadhili vurugu na uvunjifu wa amani na utulivu nchini.

Wanawapa matumaini hewa kuwa ulaya na marekani hakuna shida na kero hata moja, ni amani tu, asali, tende na maziwa.

Sijawasikia diaspora wakilaani vurugu za oct29.

Je, Tanzania tunahitaji uraia pacha?
Kwa akili hizi, hakika bado nchi inasafari ndefu !!
 
Ww huoni matatizo tuliyonayo watanzania? Kama una akili timamu ule ulikuwa uchaguzi au uchafuzi? Yaan mtu anajiamulia tu kwamba nataka kushinda uchaguzi Kwa asilimia ngapi na ni nani ninayemtaka awe mbunge/Diwani,

Haya yanawahusu vipi Diaspora?
 
Aliyefurahia kupata kitambulisho cha ukaazi(uraia) wa Zanzibar na kubadilika kama kinyonga. Kuna yule raia wa bara tukalazimishwa kuwa ni raia wa Zanzibar! Tanzania ina wenyewe na wenyewe ni wanaccm.
 
Mwalimu Nyerere alisemaga Majitu yaliyoshiba na kuvimbiwa huwa hayataki Changes !
Ndio hayo ambayo hata Uraia pacha kwao ni hofu ya kupoteza wanayo yahodhi 😳 !
MAJITU yaliyoshiba !! 😳🙄
 
Kwa akili hizi, hakika bado nchi inasafari ndefu !!
Wasiwasi ndo akili. Nchi hii haitegemei diaspora (manamba) kuendelea au kutoendelea. Baadhi ya manamba (cheap labors) hawa wapo wanaotumiwa na wakoloni wetu wa zamani ama kutuibia au kuzikamata nyia zetu kuu za uchumi na umoja.

Wote tunafahamu wakoloni walikuja kututawala kwasababu za kiuchumi tu hakuna sababu nyingine. Walikuwa wanataka rasimali zetu zikiwa ghafi kwaajili ya viwanda vyao, nguvu kazi rahisi (manamba) na masoko kwaajili ya bidhaa zao za viwandani. Tunafahamu kuwa tulilimishwa zaidi mazao ya bishara kama mkonge, mpira, pamba, chai, tumbaku, nk na wengine walisafirishwa kama watumwa kwenda kufanyakazi za kilimo, viwanda, ufugaji, ujenzi na upagazi kwa malipo kidogo sana nje ya Afrika.

Wote tunafahamu kuwa hata sasa wakoloni bado wanatafuta malighafi, manamba na masoko ya bidhaa zao nje ya mabara yao. Wote tunafahamu kuwa hawa diaspora ni walewale manamba/watumwa lakini sasa wanajiita diaspora. Hawa ni mali ya waajili wao wanaweza kutumiwa kwa njia yoyote waajili wanavyotaka ili kupata posho zaidi.

Ndugu zangu mnapofungua dirisha kuruhusu hewa safi ipite lazima pia mfikirie namna ya kuzuia harufu mbaya, mavumbi na wadudu wasiingie chumbani.
 
Ww huoni matatizo tuliyonayo watanzania? Kama una akili timamu ule ulikuwa uchaguzi au uchafuzi? Yaan mtu anajiamulia tu kwamba nataka kushinda uchaguzi Kwa asilimia ngapi na ni nani ninayemtaka awe mbunge/Diwani,

Haya yanawahusu vipi Diaspora?
Chama chenye nguvu kilisusia uchaguzi, wapiga kura wao wengi wakuridi CCM na CHAUMA. Hebu acheni agenda hiyo ya kitoto. Ukimsusia nyani shamba la mahindi utashangaa nini kusikia nyani wamekula mahindi yote?

Huko chadema ninawaonea huruma mimi, ama wanaburuzwa na mtu mmoja au hawana akili za kutosha au wanavuta misuba wote. Yaani wewe uliona wapi mtu akazuia uchaguzi usifanyike nchi nzima kwenye nchi yenye uongozi, Katiba, sheria, majeshi, mahakama, bunge na makomandoo wa kutosha kabisa?
 
Aliyefurahia kupata kitambulisho cha ukaazi(uraia) wa Zanzibar na kubadilika kama kinyonga. Kuna yule raia wa bara tukalazimishwa kuwa ni raia wa Zanzibar! Tanzania ina wenyewe na wenyewe ni wanaccm.
Sio kweli. CCM ndiyo yenye serikali ambayo ina sera ya kuwapatia ardhi watanzania wote bila kujali wewe ni kabila gani na ardhi iko kwenye kabila gani. Mbona chadema hamuikatai sera hiyo? CCM haifai lakini ardhi ya watu wa makabila mengine umeichukua. CCM oyee
 
Wasiwasi ndo akili. Nchi hii haitegemei diaspora (manamba) kuendelea au kutoendelea. Baadhi ya manamba (cheap labors) hawa wapo wanaotumiwa na wakoloni wetu wa zamani ama kutuibia au kuzikamata nyia zetu kuu za uchumi na umoja.

Wote tunafahamu wakoloni walikuja kututawala kwasababu za kiuchumi tu hakuna sababu nyingine. Walikuwa wanataka rasimali zetu zikiwa ghafi kwaajili ya viwanda vyao, nguvu kazi rahisi (manamba) na masoko kwaajili ya bidhaa zao za viwandani. Tunafahamu kuwa tulilimishwa zaidi mazao ya bishara kama mkonge, mpira, pamba, chai, tumbaku, nk na wengine walisafirishwa kama watumwa kwenda kufanyakazi za kilimo, viwanda, ufugaji, ujenzi na upagazi kwa malipo kidogo sana nje ya Afrika.

Wote tunafahamu kuwa hata sasa wakoloni bado wanatafuta malighafi, manamba na masoko ya bidhaa zao nje ya mabara yao. Wote tunafahamu kuwa hawa diaspora ni walewale manamba/watumwa lakini sasa wanajiita diaspora. Hawa ni mali ya waajili wao wanaweza kutumiwa kwa njia yoyote waajili wanavyotaka ili kupata posho zaidi.

Ndugu zangu mnapofungua dirisha kuruhusu hewa safi ipite lazima pia mfikirie namna ya kuzuia harufu mbaya, mavumbi na wadudu wasiingie chumbani.
All I can say uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana. Bora ukajikita kuchangia mijadala ya level yako.
 
Kuna watanzania wenzetu wakifanikiwa kwenda kuishi ulaya na marekani wanajifanya kuusahau utanzania wao. Wanawaona watanzania walioko Tanzania kama washamba, wajinga, wasiojua kutukana na kubeza viongozi kama wazungu wanavyofanya. Ghafla wanatamani Tanzania iwe na utamaduni, siasa na uhuru kama wa wazungu.

Baadhi ya diaspora wanawachochea vijana watukane, wachome, waharibu na kupindua serikali. Wanafadhili vurugu na uvunjifu wa amani na utulivu nchini.

Wanawapa matumaini hewa kuwa ulaya na marekani hakuna shida na kero hata moja, ni amani tu, asali, tende na maziwa.

Sijawasikia diaspora wakilaani vurugu za oct29.

Je, Tanzania tunahitaji uraia pacha?
Hivi yule dada Yao ana uraia pacha?
 
Umesema baadhi ya diaspora. So, uhukumu wanadiaspora wote kwa ajili ya watu wachache? Mbona kuna watz mnaosema walihamasisha, basi pia watu wasiwe raia wa Tz kwa sababu pia wanahamasisha vurugu?

Tatizo una mawazo ya kijima sana. Nchi zenye matishio makubwa ya kiusalama kama Israel wana uraia pacha na wanaishi. Sie hapa hata matishio ya maana ya kiusalama hatuna, tumekalia vipropaganda vya kijinga jinga tu. Ndio maana hadi leo wanafunzi wanakunya maporini kama wanyama kwa sababu ya fikra hizi za uchawa uchawa tu.
 
All I can say uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana. Bora ukajikita kuchangia mijadala ya level yako.
Real!! Nichangie mada nyingine ipi tena? This is my levels
 
Umesema baadhi ya diaspora. So, uhukumu wanadiaspora wote kwa ajili ya watu wachache? Mbona kuna watz mnaosema walihamasisha, basi pia watu wasiwe raia wa Tz kwa sababu pia wanahamasisha vurugu?

Tatizo una mawazo ya kijima sana. Nchi zenye matishio makubwa ya kiusalama kama Israel wana uraia pacha na wanaishi. Sie hapa hata matishio ya maana ya kiusalama hatuna, tumekalia vipropaganda vya kijinga jinga tu. Ndio maana hadi leo wanafunzi wanakunya maporini kama wanyama kwa sababu ya fikra hizi za uchawa uchawa tu.
Israel wana Marekani nyuma yao sisi tuna nani?. Wanafunzi hawa wanatoka familia zisizokuwa na vyoo pia majumbani. Kama ukipata kiongozi ambae kwao hawakuwa na choo haoni umuhimu wa kujenga vyoo shuleni.
 
Back
Top Bottom