UTawaona waathirika punde tu baada ya tume ya kijinai ikimaliza kazi yake. Hata kama wangekufa 100,000 kama sababu za kufa zipo haina neno japo hiyo sio kawaida yetu.Kesi za hao waliokatwa vidole zipo wapi mkuu unaweza kuleta hapa chonbo cha habari kilichofanya mahojiano na aliyekatwa vidole mkuu?? Na vipi hao watanzania 10000 waliouwawa kwa kupigwa risasi Hadi wale waliokuwabanda la mpira kuuliwa vipi nao walikuwa wanawakata watu vidole? Vipi hao wakataji vidole ni yupi hata mmoja aliyekamatwa au aliyechoma hivyo vituo vya polisi? Usichague swali jepesi jibu yote maana inaonekana upo smart sana kiakili una akili kubwa sana
Ila wewe kilaza kwani darasa la Lucas huwa hauhudhiriiUTawaona waathirika punde tu baada ya tume ya kijinai ikimaliza kazi yake. Hata kama wangekufa 100,000 kama sababu za kufa zipo haina neno japo hiyo sio kawaida yetu.
Mimi nilifunga safari kwenda Mbeya kuhakikisha mwanangu hashiriki kwenye mkumbo wa vurugu, hiyo ndiyo ilikuwa salama yake. Wazazi tuna wajibu. Hata wewe mshukuru mzazi wako kukuzuia, la sivyo huenda nawe ungekuwa no more, hahaha.
Inaudhi lakini imetokea kama ilivyotokea, kila mtu amejifunza kitu.
MATAKO ya SSH huna hoja za kubishana na Mimi Wala huna majibu ya hoja nitakazokupa shenztaipuSiku jichanganye uone
Shughulisha akili yako, mimi siko hapa kuku- spoon feed mtu mzima kama wewe.Haya tutajie anaitwa nani> Kennedy kafa lini na muuaji alijulikana lini?
Mimi sijui how much powerful you are in arguing, lakini nisemehe tu kuwa ile wasiwasi waliokuwanayo akina Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Magufuli kuhusu kuruhusu uraia pacha hata Samia lazima aendelee kuwa nayo kwa kilichotolea Oct29. Hatari na hasara za uraia pacha ni kubwa kuliko faida.MATAKO ya SSH huna hoja za kubishana na Mimi Wala huna majibu ya hoja nitakazokupa shenztaipu
Weka picha hapa za hao waliokatwa vidole kwa wale alioua Samia ushahidi wa picha upo.Kuna watanzania wenzetu wakifanikiwa kwenda kuishi ulaya na marekani wanajifanya kuusahau utanzania wao. Wanawaona watanzania walioko Tanzania kama washamba, wajinga, wasiojua kutukana na kubeza viongozi kama wazungu wanavyofanya. Ghafla wanatamani Tanzania iwe na utamaduni, siasa na uhuru kama wa wazungu.
Baadhi ya diaspora wanawachochea vijana watukane, wachome, waharibu na kupindua serikali. Wanafadhili vurugu na uvunjifu wa amani na utulivu nchini. Wanafadhili uchafuzi wa nchi yao kwenye vyombo vya habari vya Magharibi kama CNN, BBC, DW na vingine kwakuwa wana uwezo wa kuchangishana na kulipia uchafuzi huo.
Walifanya kila kitu ili nchi ikose misaada na mikopo, huku wakijua baadhi ya chanjo za watoto na dawa zinapatikana nchini kwa misaada.
Wanawapa matumaini hewa vijana wasiojua kuwa ulaya na marekani hakuna shida na kero hata moja, ni amani tu, asali, tende na maziwa.
Sijawasikia diaspora wakilaani vurugu za oct29 zilizowakata vidole watanzania na kuchoma miundombinu ya umma na watu binafsi.
Je, Tanzania tunahitaji uraia pacha?
Umejiokotea mapicha ya wafu kutoka Goma na kuyapaste humu.Weka picha hapa za hao waliokatwa vidole kwa wale alioua Samia ushahidi wa picha upo.
View attachment 3691522View attachment 3691523View attachment 3691524
NB:
Dual citizenship nyie walugaluga mnaipiga vita tokea kitambo, mko tayari nchi isifaidike kiuchumi kwa kuwa tu you can't bully those who are outside TZ.
Nchi nyingi(developing countries) zinapata mchango mkubwa kutakana na inputs za diaspora.
Eti Goma, basi hata hao aliowa-acknowledge huyo Chande nao walikuwa wa Goma, hata hiyo reconciliation anayoililia huyo bibi mvaa shanga nyingi wa Kizimkazi ni ya Goma pia.Umejiokotea mapicha ya wafu kutoka Goma na kuyapaste humu.
Kuna nchi za Afrika zina uraia pacha lakini hata uwanja mzuri wa kuchezea timu zao mashindano ya CUF hazina. Nchi nyingi za Afrika zinaiona Tanzania kama taifa lililoendelea. Vijana wa nchi nyingi za Afrika wanakuja tz kutafuta maisha, na wakifika hawataki kuondoka. Uraia pacha tutaambulia kuwa na mashoga tu na vibaraka waliorahisishiwa kazi ya kutuangamiza.
Eti wenzetu kule wanatukana viongozi wao kwanini nyinyi hamuwatukani?. Waje tu kama wawekezaji sawa na wawekezaji wengine, wakituzingua tunawatimua kama tunavyowatimua wengine. Tutamkataa mchana kweupe kabla jogoo halijawika.
UKiona kiongozi wa nchi anataka kuruhusu uraia pacha ujue anafanya hivyo kwa maslahi ya mwanawe na sio taifa.
Sijawahi kuwaza kama una akili za kipuuzi kama hizo Yani Hadi hiyo picha ya mwisho unasema ya raia kutoka Goma?? Unataka Hadi nikwambie jina la huyo Binti na wazazi wake wanaishi wapi? Hivi hata umeichunguza hiyo picha hata kwa kuzoom tu kuangalia kulia kwako Hilo karatasi la Bango limeandikwa nini?? Aiseeee kama unataka posho za buku saba wanazopokea kina Lucas basi achana nazo maana hwataruhusu mpuuzi kama wewe uwaaibishe kwenye kutetea hoja zako maana ni wazi wewe ni zero brain kabisa š®Umejiokotea mapicha ya wafu kutoka Goma na kuyapaste humu.
Kuna nchi za Afrika zina uraia pacha lakini hata uwanja mzuri wa kuchezea timu zao mashindano ya CUF hazina. Nchi nyingi za Afrika zinaiona Tanzania kama taifa lililoendelea. Vijana wa nchi nyingi za Afrika wanakuja tz kutafuta maisha, na wakifika hawataki kuondoka. Uraia pacha tutaambulia kuwa na mashoga tu na vibaraka waliorahisishiwa kazi ya kutuangamiza.
Eti wenzetu kule wanatukana viongozi wao kwanini nyinyi hamuwatukani?. Waje tu kama wawekezaji sawa na wawekezaji wengine, wakituzingua tunawatimua kama tunavyowatimua wengine. Tutamkataa mchana kweupe kabla jogoo halijawika.
UKiona kiongozi wa nchi anataka kuruhusu uraia pacha ujue anafanya hivyo kwa maslahi ya mwanawe na sio taifa.