Oktoba 29 imetuonyesha namna Uraia pacha unavyohitaji mjadala zaidi

Nikwambie tu ccm hampendwi na yeyote sema mlikuwa mnatumia ujinga wa watanzania wa kutokuelewa mambo na hata ukiona kuna mtanganyika anakusapoti ujue bado hajaamka au chawa kama wewe tofauti na hapo hamna mtu anaweza kuielewa ccm. Angalia hata waandishi wa habari wengi wamejaa vifua vyao lakini risasi na utekaji ndio imebaki mbinu yenu ya mwisho
Kwani wewe umeamka?, ni kama bado umelala tu. Yaani kuamka ni kuchoma barabara inayokupeleka hospitali kutahiriwa? Huko sio kuamka bali uchizi unaosababishwa na ndumu.
 
Aiseeee nimejaribu kusoma maelezo yako hakuna mtu humu anaeweza kukuelewa labda nyumbu zile za makorido ya Lumumba.

Sasa ndugu mleta uzi huoni kuwa hao unaowatuhumu kusema uongo kwenye vyombo vya habari kama CNN na BBC walikuwa sahihi na hawajakwepesha kitu zaidi ya kutaka uwajibikaji. Hivi walipoongelea Mauaji,utekaji na watu kuumizwa pia watu kupotezwa huoni hoja zako zote zinaingia humo? Ndo maana nasema wewe Kuna kautahira kapo kanakusumbua sio bure.

Na linapokuja suala la silaha nani alizileta hizo silaha na zilipita mpaka upi ambao jeshi lenu halipo? Au unafikiri kutumia silaha ni kama unavyonyonya makebo ya mke wako?

Ndugu mleta uzi nakushauri tu jitahidi kuficha utahira wako humu JF huo utahira huwa mara nyingi tunaufanya huko Facebook na Instagram🙏
LOOH!! Sasa kama watu wangekuwa wanatekwa na kupotezwa hovyo hivyo nchi hii maana yake hata wewe na wifi yako mngeshatekwa na kupotezwa pia.

Ukiomuona ametekwa anamjua aliyemteka na sababu ya kumteka. Kama unatembea na mke wa mtu kwanini usimjue aliyekuteka? Kama umewadhulumu wafanyabiashara wenzako kwanini usijue nani amekuteka?
 
Kwa hiyo nchi hii Haina jeshi si ndiyo kiasi kwamba hata mtu akipotezwa na mgoni wake jeshi halina nafasi kwa raia si ndiyo?? Hivi wewe una akili kweli TIMAMU zinakutosha ndugu mleta uzi? Mbona una unatoa hoja kama umekatwa kichwa
 
Kwani wewe umeamka?, ni kama bado umelala tu. Yaani kuamka ni kuchoma barabara inayokupeleka hospitali kutahiriwa? Huko sio kuamka bali uchizi unaosababishwa na ndumu.
CCM ndio mnaochoma barabara na kila kitu ili mpate kisingizio ndio maana wimbo wenu ni miundo mbinu kuharibiwa! nimeona nikusanue na hapo usidhani hatujui! kila kitu watanganyika wanaelewa sana msijisumbue kabisa hamna ulaghai wenu unajulikana hata na mtoto mdogo
 
Kwa hiyo nchi hii Haina jeshi si ndiyo kiasi kwamba hata mtu akipotezwa na mgoni wake jeshi halina nafasi kwa raia si ndiyo?? Hivi wewe una akili kweli TIMAMU zinakutosha ndugu mleta uzi? Mbona una unatoa hoja kama umekatwa kichwa
Hata Marekani wanamtafuta aliyemuua Rais JF Keneddy mpaka leo hawajampata, labda wawe wamempata leo. Technolojia yetu ya kupeleleza bado ni ndogo sana.
 
Unauhakika aliemuua Kennedy hajulikani ? Au wewe ndio humfahamu?
 
Kwani wewe umeamka?, ni kama bado umelala tu. Yaani kuamka ni kuchoma barabara inayokupeleka hospitali kutahiriwa? Huko sio kuamka bali uchizi unaosababishwa na ndumu.
Ndugu mleta uzi jaribu kukaa mafunzo na Tlaatlaah akupe code yake kuwa ukizidiwa hoja kimbia na ukae kimya kuliko kuExpose utahira wako kama huu unaoufanya
Hata Marekani wanamtafuta aliyemuua Rais JF Keneddy mpaka leo hawajampata, labda wawe wamempata leo. Technolojia yetu ya kupeleleza bado ni ndogo sana.
Tofautisha tukio la mtu mmoja na tukio la mauaji ya halaiki hivi wewe mjinga unajielewa kweli hata unachokijibu ni nini?? Hivi mauaji makubwa katika mikoa tofauti tofauti alafu wewe unatolea mfano dhaifu kabisa kuwahi kutokea🙌itoshe tu kusema wewe ni mjinga na huna unachoweza kutetea hoja zako na kama ni miongoni mwa wale wa kupewa buku 7 kwenye korido za Lumumba basi wanampa kichaa asiye na manufaa
 
Ndugu mleta uzi jaribu kukaa mafunzo na Tlaatlaah akupe code yake kuwa ukizidiwa hoja kimbia na ukae kimya kuliko kuExpose utahira wako kama huu unaoufanya

Tofautisha tukio la mtu mmoja na tukio la mauaji ya halaiki hivi wewe mjinga unajielewa kweli hata unachokijibu ni nini?? Hivi mauaji makubwa katika mikoa tofauti tofauti alafu wewe unatolea mfano dhaifu kabisa kuwahi kutokea🙌itoshe tu kusema wewe ni mjinga na huna unachoweza kutetea hoja zako na kama ni miongoni mwa wale wa kupewa buku 7 kwenye korido za Lumumba basi wanampa kichaa asiye na manufaa
ugaidi wa kihalaiki unajibiwa kihalaiki vilevile. Waliouliwa waliuliwa kihalali kabisa, hata dunia imeelewa kilichotokea Tz trh 29 Oct, 2025 hakuna haja ya kurudiarudia kutoneshana majeraha. Kazi yetu ya sasa ni kuzuia yale yasitokee tena, kwasababu nia ya kuyazuia tunayo, sababu za kuyazuia tunazo na uwezo wa kuyazuia tunao.
 
We kalio kweli na wanaoendelea kukujibu nao wajitafakari maana huna hoja zenye mantiki unajibu nje ya unachoulizwa unajibu hovyo hovyo hueleweki na ipo wazi uelewa wako ni mdogo sana kupita kiasi kuliko hata wenzako kina mwashambwa na tilatila Yani we ni zero brain kwenye kutetea hoja zako
 
swali la kijinga lipe jibu la kijinga ili iwe bila bila. Wewe unanijibu lakini unakataza wengine wanijibu, hiyo ndiyo tabia ya kalio.
 
Ndugu mleta uzi jaribu kukaa mafunzo na Tlaatlaah akupe code yake kuwa ukizidiwa hoja kimbia na ukae kimya kuliko kuExpose utahira wako kama huu unaoufanya

Tofautisha tukio la mtu mmoja na tukio la mauaji ya halaiki hivi wewe mjinga unajielewa kweli hata unachokijibu ni nini?? Hivi mauaji makubwa katika mikoa tofauti tofauti alafu wewe unatolea mfano dhaifu kabisa kuwahi kutokea🙌itoshe tu kusema wewe ni mjinga na huna unachoweza kutetea hoja zako na kama ni miongoni mwa wale wa kupewa buku 7 kwenye korido za Lumumba basi wanampa kichaa asiye na manufaa
Walikata vidole watu wengi wakauliwa watu wengi pia, shida iko wapi hapo. Au ulitaka wakatwe vidole watu wangapi kwanza kabla ya kuuliwa? Huwezzi kudai haki yako kwa kuchukua haki ya mtu mwingine. Mbwa akianza kuuma watu hovyo kila mtu kila mtaa kila mji mbwa kama huyo expire date yake iko mashakani.

Kama kungekuwa na watu wanaoua watu tu bila sababu mitaani basi hata wewe na mumeo mngeshauliwa pia siku ile.
 
Kesi za hao waliokatwa vidole zipo wapi mkuu unaweza kuleta hapa chonbo cha habari kilichofanya mahojiano na aliyekatwa vidole mkuu?? Na vipi hao watanzania 10000 waliouwawa kwa kupigwa risasi Hadi wale waliokuwabanda la mpira kuuliwa vipi nao walikuwa wanawakata watu vidole? Vipi hao wakataji vidole ni yupi hata mmoja aliyekamatwa au aliyechoma hivyo vituo vya polisi? Usichague swali jepesi jibu yote maana inaonekana upo smart sana kiakili una akili kubwa sana
 
Mleta mada aandika ujinga ujinga utafikiri Tanzania anaishi peke yake so wengine hawajui yanayoendelea au yaliyotokea Tanzania. You are just another idiot like Tlaatlaah
 
Back
Top Bottom